God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Mimi siongelei demand naongelea jambo ambalo halipingani na sifa zake.

Mungu mwenye upendo wote hana sababu ya kuyaachia mabaya yatokee. Hiyo ni logic sio kumpanhia otherwise umpunguze sifa
No ni vile tu uelewa wako ni finyu wala hakuna kilichopingana na sifa zake hata sasa.

Mungu analo kusudi na kila unachokiona hivi sasa, kuzungumzia sababu ni kama unashusha hadhi. Na logic ambazo ni wrong katika dunia yako katika dunia yangu ni vitu vimenyooka kabisa
 
Huyo ni mdogo kwangu hana nguvu hizo afu nilikuambia unitolee sadaka
Pride/kibri ndio haswaa dhambi kuu ya shetwani ukiwa kwenye dunia yake utaona kama hilo ni jambo sahihi.

Mind you ninapoongelea dunia tofauti namaanisha ile uhalisia kadri ya unavyouona kichwani mwako.

Katika dunia yangu ni sahihi zaidi wote kuwa watoto wa Mungu hata kama sisi ni miungu basi ni miungu wadogo, katika dunia yako naona unataka kuwa mungu wewe mwenyewe na kujiamulia kila kitu. Hicho ni kiburi.
 
No ni vile tu uelewa wako ni finyu wala hakuna kilichopingana na sifa zake hata sasa.

Mungu analo kusudi na kila unachokiona hivi sasa, kuzungumzia sababu ni kama unashusha hadhi. Na logic ambazo ni wrong katika dunia yako katika dunia yangu ni vitu vimenyooka kabisa
Utaelewa tu kama uelewa ni finyu au huyo Mungu hayupo na ndio maana unapata tabu kumuelezea

Mungu mwenye upendo wote anaanzaje kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya?

Usinambie habari za kusudi kwasababu kama alioenda mabaya yawepo basi asingekuwa anachukizwa kiasi cha kutoa adhabu
 
Ni sehemu ya wewe, umejisikia kugeuka maana umejitambua kuwa umechoka kulalia huo upande na mwishowe umeamua[pasi na kujitambua] kugeuka

Ni will yako inafanya kazi

Ni will yako inafanya kazi ya wewe kuendelea kupumua ukiwa umelala

Ni will yako inafanya kazi kuendelea kudunda moyo mda wote

Ikiwa unaijua mbadala wa hicho kitu basi ungefanya tofauti na ungekuwa ume exercise free-will
Sawa, mfano wa kwanza nimekusudia migeuko ambayo utambuzi huwa haupo kwa 100%, yaani mtu hana ufahamu wowote kuhusu kinachoendelea kiasi ambacho hata ukimuamsha muda huo ukamuuliza hakumbuki chochote kile - yaani hata kwa makisio, kiwiliwili kinakuwa kama ilivyo maiti kwa muoshaji, kitendo kama hicho kinaegemezwa kwa mja "free will" au kwa Mungu?
 
Katika ulimwengu wako ndio unayaona haya ni mabaya na hayana kusudi lolote jema

Katika dunia yako unaona Mungu wa chuki, mimi nauona upendo wake.

Na hizi scheme zote zipo kiotomati mbona unachagua na kupokea sambamba na machaguo yako. Kama ni adhabu unajivunia mwenyewe hata zawadi unajizawadia mwenyewe maana Yeye kama yeye alishatoa tayari imebaki wewe.

Mwisho mwishoni acha kiburi cha kujifanya na we ni mjuzi wa kila kitu hivyo kuumba ulimwengu wenye mipangilio hiyo sio sahihi. Unajidanganya na punguza kiburi.
 
Pride/kibri ndio haswaa dhambi kuu ya shetwani ukiwa kwenye dunia yake utaona kama hilo ni jambo sahihi.

Mind you ninapoongelea dunia tofauti namaanisha ile uhalisia kadri ya unavyouona kichwani mwako.

Katika dunia yangu ni sahihi zaidi wote kuwa watoto wa Mungu hata kama sisi ni miungu basi ni miungu wadogo, katika dunia yako naona unataka kuwa mungu wewe mwenyewe na kujiamulia kila kitu. Hicho ni kiburi.
Unajuaje vitu unavyovidai kuviona katika dunia yako sio imagination tu kama habari za Mungu?

Personal experience sio uthibitisho ni namna tu ambavyo ubongo wako umekuwa lazy na kujichagulia vitu simple kuliko ku deal na vitu complex

Na ndio maana zama za ujinga palipokuwa na hoja ngumu kuhusu utata wa jambo walikuwa wakirahisha kuwa Mungu kafanya, Mungu ndo anajua

Sasa nawewe nakuona hutaki kushirikisha ubongo eti "dunia yangu" ndio nini sasa?
 
Sawa, mfano wa kwanza nimekusudia migeuko ambayo utambuzi huwa haupo kwa 100%, yaani mtu hana ufahamu wowote kuhusu kinachoendelea kiasi ambacho hata ukimuamsha muda huo ukamuuliza hakumbuki chochote kile - yaani hata kwa makisio, kiwiliwili kinakuwa kama ilivyo maiti kwa muoshaji, kitendo kama hicho kinaegemezwa kwa mja "free will" au kwa Mungu?
Maamuzi mengi tunafanya hata kama hatuyatambui mojakwa moja lakini bado ni sehemu ya sisi kama sisi.

Chochote kinachotokea ni matokeo ya ushirikiano wa nguvu za mtu na nguvu za Mungu, nguvu za shetani na malaika na kila kitu vinashirikiana. We make things happen
 
Ni sehemu ya wewe, umejisikia kugeuka maana umejitambua kuwa umechoka kulalia huo upande na mwishowe umeamua[pasi na kujitambua] kugeuka

Ni will yako inafanya kazi

Ni will yako inafanya kazi ya wewe kuendelea kupumua ukiwa umelala

Ni will yako inafanya kazi kuendelea kudunda moyo mda wote

Ikiwa unaijua mbadala wa hicho kitu basi ungefanya tofauti na ungekuwa ume exercise free-will

Ngoja nitumie mfano mwingine:

Umewahi kumuona mtu akiongea hali ya kuwa amelala fofofo hajitambui kabisa - yaani kabisa, akiwa katika hali hiyo kama atakayoongea/atakayotamka/atakayoongeleshwa/atakayotamkishwa yatakuwa ni matusi je kitendo hicho atahukumiwa nacho kuwa amefanya dhambi? Kwa nini kihukumiwe hivyo wakati alifanyizwa hakuwa anajitambua?

NB: Kitendo hicho hakikuwa sehemu ya chaguzi zake, kwa hilo atahesabika ametumia free will?

Uhakika Bro:

Wewe ni mwanabaiolojia mwenzangu pia, naamini unajua tofauti ya voluntary na involuntary actions: reflex actions, conditioned reflex ...
 
Unajuaje vitu unavyovidai kuviona katika dunia yako sio imagination tu kama habari za Mungu?

Personal experience sio uthibitisho ni namna tu ambavyo ubongo wako umekuwa lazy na kujichagulia vitu simple kuliko ku deal na vitu complex

Na ndio maana zama za ujinga palipokuwa na hoja ngumu kuhusu utata wa jambo walikuwa wakirahisha kuwa Mungu kafanya, Mungu ndo anajua

Sasa nawewe nakuona hutaki kushirikisha ubongo eti "dunia yangu" ndio nini sasa?
Mambo tunayapa maana sisi ndio maana kila mmoja anayo dunia yake. Kama huko uliko panakupa furaha anyway ndio uchaguzi wako.

Kitu kimoja tu usijidanganye kuwa unachokiona wewe ndiyo kila mtu anakiona hivyo, au at least kila mtu anapaswa kukiona hivyo. Tunafikiri tofauti.

Ndio namaanisha hivyo kwa kusema kuwa tupo katika dunia tofauti tofauti tulizojichagulia. FREE-WILL
 
Ngoja nitumie mfano mwingine:

Umewahi kumuona mtu akiongea hali ya kuwa amelala fofofo hajitambui kabisa - yaani kabisa, akiwa katika hali hiyo kama atakayoongea/atakayotamka/atakayoongeleshwa/atakayotamkishwa yatakuwa ni matusi je kitendo hicho atahukumiwa nacho kuwa amefanya dhambi? Kwa nini kihukumiwe hivyo wakati alifanyizwa hakuwa anajitambua?

NB: Kitendo hicho hakikuwa sehemu ya chaguzi zake, kwa hilo atahesabika ametumia free will?
Dhambi inakuja pale atakapofanya kitu ambacho ni kosa huku akitambua hilo.

Tofauti na hivyo yanaweza kuwa ni makosa tu hayajafikia kuwa dhambi

Makosa yote mtu anapaswa kuyafanyia kazi na kurekebisha kadri ya anavyoweza.

Mfano aache kufuatilia ugomvi na matusi etc...........hatuiti dhambi hata kama ni kosa maana freewill haijahusika kenye hilo tukio moja kwa moja. Arekebishe vingine mwenye control navyo
 
Katika ulimwengu wako ndio unayaona haya ni mabaya na hayana kusudi lolote jema

Katika dunia yako unaona Mungu wa chuki, mimi nauona upendo wake.

Na hizi scheme zote zipo kiotomati mbona unachagua na kupokea sambamba na machaguo yako. Kama ni adhabu unajivunia mwenyewe hata zawadi unajizawadia mwenyewe maana Yeye kama yeye alishatoa tayari imebaki wewe.

Mwisho mwishoni acha kiburi cha kujifanya na we ni mjuzi wa kila kitu hivyo kuumba ulimwengu wenye mipangilio hiyo sio sahihi. Unajidanganya na punguza kiburi.
Kwanza sina dunia

Pia mimi na reason hoja ya uwepo wa Mungu kwa kuangalia sifa zake na kuhusisha na vitu ambavyo anadaiwa kuumba

Mungu mjuzi wa yote anayejua ni wapi uovu unaweza kupenya

Anayejua ni njia gani itakayoweza kudhibiti uovu usipenye

Mwenye sababu ya msingi kuzuia uovu usiwezekane kwasababu tayari yeye ni msafi na uovu ni uchafu hivyo hawezi kuwa na kazi chafu

Lakini pia anaupendo wote wa kufanya hivyo kuwaepusha viumbe wake na uovu huo

Kwamba alikuwa anataka ulimwengu wa dzaini hiyo ila ikashindikana?

Hapana. Huyu ni muweza wa yote hivyo hashindwi na chochote.

Sasa kwanini kuna uovu?

Ukiniambia ni kusudi lake utakuwa umempunguzia sifa moja kayi ya hizo hapo juu

Kwamba ni kusudi lake uovu uwepo, kwa hiyo uovu kwake ni jambo zuri?

Kama ni jambo zuri kwanini watu wakifanya waadhibiwe?

Au unaamisha Mungu ni sadist?

Kukosa majibu rational kwenye hoja hizo na ukatumia vihoja unakuwa unamfelisha Mungu wako na waumini wenzako
 
Mambo tunayapa maana sisi ndio maana kila mmoja anayo dunia yake. Kama huko uliko panakupa furaha anyway ndio uchaguzi wako.

Kitu kimoja tu usijidanganye kuwa unachokiona wewe ndiyo kila mtu anakiona hivyo, au at least kila mtu anapaswa kukiona hivyo. Tunafikiri tofauti.

Ndio namaanisha hivyo kwa kusema kuwa tupo katika dunia tofauti tofauti tulizojichagulia. FREE-WILL
Hiyo ya kusema dunia yake umeikazania na kuyaacha maswali ya msingi uliyoulizwa

Unajuaje hicho unachokisema kipo katika dunia yako sio imaginations?
 
Kama kawaida, nadhani umeendelea kushikilia kwa kiburi kwamba 'unafahamu kila kitu na haya mambo ya kupeana mafundisho na muda hayana maana'

Nahisi kama kungekuwa hakunanuovu wowote wa kuuana wala nini mngetaka watu wawe wanatokea watu wazima tu, kwa nini wajihangaishe kukua? [kukua ingesomeka ni uovu]

Baadaye mngetaka watu wasipate njaa, kwa nini wajihangaishe kukula? [njaa ingekuwa uovu wenu mpya]

Baadaye mngetaka watu wasiongee wawe tu walishaelewana bila kujihangaisha kuzungumza, watokee tu bila kuhitaji elimu yoyote

Na mngemchallenge Mungu afanye vivyo hivyo maana yeye si amejinasibu ni muweza yote. Basi awafanyie yote sasa.

Kimsingi you are against life as we experience it and know it you want a static existance kitu ambacho hata Mungu aliona si vema akatuumba sisi kazi ziendelee.

Kama kweli unaona dunia hiyo isiyo na shida yoyote ya kuiishi wala njia yoyote ya kuipita basi ndiyo utapokea sambamba na matakwa yako. Wacha tuliopenda kuwa watoto wa kukua na kujifunza kuhusu sisi na kuhusu Mungu zaidi, wasafiri wa kupita njiani na kuishi kwa kupambana na changamoto ndogondogo tuendelee kufanya hivyo milele.
Kwanza sina dunia

Pia mimi na reason hoja ya uwepo wa Mungu kwa kuangalia sifa zake na kuhusisha na vitu ambavyo anadaiwa kuumba

Mungu mjuzi wa yote anayejua ni wapi uovu unaweza kupenya

Anayejua ni njia gani itakayoweza kudhibiti uovu usipenye

Mwenye sababu ya msingi kuzuia uovu usiwezekane kwasababu tayari yeye ni msafi na uovu ni uchafu hivyo hawezi kuwa na kazi chafu

Lakini pia anauoendo wote wa kufanya hivyo kuwaepusha viumbe wake na uovu huo

Kwamba alikuwa anataka ulimwengu wa dzaini hiyo ila ikashindikana?

Hapana. Huyu ni mjweza wa yote hivyo hashindwi na chochote.

Sasa kwanini kuna uovu?

Ukiniambia ni kusudi lake utakuwa umempunguzia sifa moja kayi ya hizo hapo juu

Kwamba ni kusudi lake uovu uwepo, kwa hiyo uovu kwake ni jambo zuri?

Kama ni jambo zuri kwanini watu wakifanya waadhibiwe?

Au unaamisha Mungu ni sadist?

Kukosa majibu rational kwenye hoja hizo na ukatumia vihoja unakuwa unamfelisha Mungu wako na waumini wenzako
 
Hiyo ya kusema dunia yake umeikazania na kuyaacha maswali ya msingi uliyoulizwa

Unajuaje hicho unachokisema kipo katika dunia yako sio imaginations?
Maswali yote nayajibu ila hayamake sense kabisa kwako, huyaoni in plane sight.

Sasa unadhani tutaishije kama mimi ninakueleza uhalisia wangu unaukataa, na wewe unanieleza uhalisia wako ninaukataa. Dunia haiwezi kubaki moja basi bora tuivunje tu tugawane dunia.

Kila mtu abaki na yake na kama kuna atakayependa anaweza kuhamia ya mwenzake au tkabaki kutembeleana kwa nadra, ikishindikana ndio tunapigiana simu kama tunavyofanya hivi sasa [tunachati kutokea kwenye dunia zetu]
 
Kama ni jambo zuri kwanini watu wakifanya waadhibiwe?
Mara ngapi nimesema kuwa hakuna anayemuadhibu mtu, ni kwamba mwishoni mtu anapokea sambamba na kile alichoona yeye mwenyewe kuwa ni chema na ndio uhalisia wake?
 
Ukikataa logic umekataa ukweli

Huyo uliye mtag alijifanya kukataa logic lakini hajui hata logic ni nini
Kwanini umesema uongo ? Wewe na mwenzako kwa kujua logic hakuna anaenifikia, nimeikosoa zaidi ya moja humu ndani.

Nikatoa maana zaidi ya moja kuhusu logic, hamkuweza kuzigusa maana hizo, sababu uwezo wa kukosoa nilichokiandika hamna na hamna kweli.
 
Kukosa majibu rational kwenye hoja hizo na ukatumia vihoja unakuwa unamfelisha Mungu wako na waumini wenzako
Mara ngapi nimekuambia kuwa hoja zangu ni rational na logical kulingana na premise yangu ya truth, LIFE and WAY.

Na mara ngapi nimekuambia katika dunia isiyoamini life, truth and way mambo yataonekana illogical kwa premise zao kwa ukweli wao katika dunia yao.

Hatuwezi kubakia na dunia moja, lazima tugawane tu hamna namna
 
Kama kawaida wacha nipumzike, siku isibadilike nazurura tu mtandaoni - ni ka policy kazuri nimeona
 
Back
Top Bottom