Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyo ni mdogo kwangu hana nguvu hizo afu nilikuambia unitolee sadakaAkifa anakufa na vyote alivyoviumba maana muungu ni wa mwanzo na wa mwisho kwa viumbe wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mdogo kwangu hana nguvu hizo afu nilikuambia unitolee sadakaAkifa anakufa na vyote alivyoviumba maana muungu ni wa mwanzo na wa mwisho kwa viumbe wake
No ni vile tu uelewa wako ni finyu wala hakuna kilichopingana na sifa zake hata sasa.Mimi siongelei demand naongelea jambo ambalo halipingani na sifa zake.
Mungu mwenye upendo wote hana sababu ya kuyaachia mabaya yatokee. Hiyo ni logic sio kumpanhia otherwise umpunguze sifa
Pride/kibri ndio haswaa dhambi kuu ya shetwani ukiwa kwenye dunia yake utaona kama hilo ni jambo sahihi.Huyo ni mdogo kwangu hana nguvu hizo afu nilikuambia unitolee sadaka
Utaelewa tu kama uelewa ni finyu au huyo Mungu hayupo na ndio maana unapata tabu kumuelezeaNo ni vile tu uelewa wako ni finyu wala hakuna kilichopingana na sifa zake hata sasa.
Mungu analo kusudi na kila unachokiona hivi sasa, kuzungumzia sababu ni kama unashusha hadhi. Na logic ambazo ni wrong katika dunia yako katika dunia yangu ni vitu vimenyooka kabisa
Sawa, mfano wa kwanza nimekusudia migeuko ambayo utambuzi huwa haupo kwa 100%, yaani mtu hana ufahamu wowote kuhusu kinachoendelea kiasi ambacho hata ukimuamsha muda huo ukamuuliza hakumbuki chochote kile - yaani hata kwa makisio, kiwiliwili kinakuwa kama ilivyo maiti kwa muoshaji, kitendo kama hicho kinaegemezwa kwa mja "free will" au kwa Mungu?Ni sehemu ya wewe, umejisikia kugeuka maana umejitambua kuwa umechoka kulalia huo upande na mwishowe umeamua[pasi na kujitambua] kugeuka
Ni will yako inafanya kazi
Ni will yako inafanya kazi ya wewe kuendelea kupumua ukiwa umelala
Ni will yako inafanya kazi kuendelea kudunda moyo mda wote
Ikiwa unaijua mbadala wa hicho kitu basi ungefanya tofauti na ungekuwa ume exercise free-will
Katika ulimwengu wako ndio unayaona haya ni mabaya na hayana kusudi lolote jemaUtaelewa tu kama uelewa ni finyu au huyo Mungu hayupo na ndio maana unapata tabu kumuelezea
Mungu mwenye upendo wote anaanzaje kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya?
Usinambie habari za kusudi kwasababu kama alioenda mabaya yawepo basi asingekuwa anachukizwa kiasi cha kutoa adhabu
Unajuaje vitu unavyovidai kuviona katika dunia yako sio imagination tu kama habari za Mungu?Pride/kibri ndio haswaa dhambi kuu ya shetwani ukiwa kwenye dunia yake utaona kama hilo ni jambo sahihi.
Mind you ninapoongelea dunia tofauti namaanisha ile uhalisia kadri ya unavyouona kichwani mwako.
Katika dunia yangu ni sahihi zaidi wote kuwa watoto wa Mungu hata kama sisi ni miungu basi ni miungu wadogo, katika dunia yako naona unataka kuwa mungu wewe mwenyewe na kujiamulia kila kitu. Hicho ni kiburi.
Maamuzi mengi tunafanya hata kama hatuyatambui mojakwa moja lakini bado ni sehemu ya sisi kama sisi.Sawa, mfano wa kwanza nimekusudia migeuko ambayo utambuzi huwa haupo kwa 100%, yaani mtu hana ufahamu wowote kuhusu kinachoendelea kiasi ambacho hata ukimuamsha muda huo ukamuuliza hakumbuki chochote kile - yaani hata kwa makisio, kiwiliwili kinakuwa kama ilivyo maiti kwa muoshaji, kitendo kama hicho kinaegemezwa kwa mja "free will" au kwa Mungu?
Ni sehemu ya wewe, umejisikia kugeuka maana umejitambua kuwa umechoka kulalia huo upande na mwishowe umeamua[pasi na kujitambua] kugeuka
Ni will yako inafanya kazi
Ni will yako inafanya kazi ya wewe kuendelea kupumua ukiwa umelala
Ni will yako inafanya kazi kuendelea kudunda moyo mda wote
Ikiwa unaijua mbadala wa hicho kitu basi ungefanya tofauti na ungekuwa ume exercise free-will
Mambo tunayapa maana sisi ndio maana kila mmoja anayo dunia yake. Kama huko uliko panakupa furaha anyway ndio uchaguzi wako.Unajuaje vitu unavyovidai kuviona katika dunia yako sio imagination tu kama habari za Mungu?
Personal experience sio uthibitisho ni namna tu ambavyo ubongo wako umekuwa lazy na kujichagulia vitu simple kuliko ku deal na vitu complex
Na ndio maana zama za ujinga palipokuwa na hoja ngumu kuhusu utata wa jambo walikuwa wakirahisha kuwa Mungu kafanya, Mungu ndo anajua
Sasa nawewe nakuona hutaki kushirikisha ubongo eti "dunia yangu" ndio nini sasa?
Dhambi inakuja pale atakapofanya kitu ambacho ni kosa huku akitambua hilo.Ngoja nitumie mfano mwingine:
Umewahi kumuona mtu akiongea hali ya kuwa amelala fofofo hajitambui kabisa - yaani kabisa, akiwa katika hali hiyo kama atakayoongea/atakayotamka/atakayoongeleshwa/atakayotamkishwa yatakuwa ni matusi je kitendo hicho atahukumiwa nacho kuwa amefanya dhambi? Kwa nini kihukumiwe hivyo wakati alifanyizwa hakuwa anajitambua?
NB: Kitendo hicho hakikuwa sehemu ya chaguzi zake, kwa hilo atahesabika ametumia free will?
Kwanza sina duniaKatika ulimwengu wako ndio unayaona haya ni mabaya na hayana kusudi lolote jema
Katika dunia yako unaona Mungu wa chuki, mimi nauona upendo wake.
Na hizi scheme zote zipo kiotomati mbona unachagua na kupokea sambamba na machaguo yako. Kama ni adhabu unajivunia mwenyewe hata zawadi unajizawadia mwenyewe maana Yeye kama yeye alishatoa tayari imebaki wewe.
Mwisho mwishoni acha kiburi cha kujifanya na we ni mjuzi wa kila kitu hivyo kuumba ulimwengu wenye mipangilio hiyo sio sahihi. Unajidanganya na punguza kiburi.
Hiyo ya kusema dunia yake umeikazania na kuyaacha maswali ya msingi uliyoulizwaMambo tunayapa maana sisi ndio maana kila mmoja anayo dunia yake. Kama huko uliko panakupa furaha anyway ndio uchaguzi wako.
Kitu kimoja tu usijidanganye kuwa unachokiona wewe ndiyo kila mtu anakiona hivyo, au at least kila mtu anapaswa kukiona hivyo. Tunafikiri tofauti.
Ndio namaanisha hivyo kwa kusema kuwa tupo katika dunia tofauti tofauti tulizojichagulia. FREE-WILL
Kwanza sina dunia
Pia mimi na reason hoja ya uwepo wa Mungu kwa kuangalia sifa zake na kuhusisha na vitu ambavyo anadaiwa kuumba
Mungu mjuzi wa yote anayejua ni wapi uovu unaweza kupenya
Anayejua ni njia gani itakayoweza kudhibiti uovu usipenye
Mwenye sababu ya msingi kuzuia uovu usiwezekane kwasababu tayari yeye ni msafi na uovu ni uchafu hivyo hawezi kuwa na kazi chafu
Lakini pia anauoendo wote wa kufanya hivyo kuwaepusha viumbe wake na uovu huo
Kwamba alikuwa anataka ulimwengu wa dzaini hiyo ila ikashindikana?
Hapana. Huyu ni mjweza wa yote hivyo hashindwi na chochote.
Sasa kwanini kuna uovu?
Ukiniambia ni kusudi lake utakuwa umempunguzia sifa moja kayi ya hizo hapo juu
Kwamba ni kusudi lake uovu uwepo, kwa hiyo uovu kwake ni jambo zuri?
Kama ni jambo zuri kwanini watu wakifanya waadhibiwe?
Au unaamisha Mungu ni sadist?
Kukosa majibu rational kwenye hoja hizo na ukatumia vihoja unakuwa unamfelisha Mungu wako na waumini wenzako
Maswali yote nayajibu ila hayamake sense kabisa kwako, huyaoni in plane sight.Hiyo ya kusema dunia yake umeikazania na kuyaacha maswali ya msingi uliyoulizwa
Unajuaje hicho unachokisema kipo katika dunia yako sio imaginations?
Mara ngapi nimesema kuwa kila kitu ni chema kutokana na asilinya kusudi lake?Sasa kwanini kuna uovu?
Mara ngapi nimesema kuwa hakuna anayemuadhibu mtu, ni kwamba mwishoni mtu anapokea sambamba na kile alichoona yeye mwenyewe kuwa ni chema na ndio uhalisia wake?Kama ni jambo zuri kwanini watu wakifanya waadhibiwe?
Kwanini umesema uongo ? Wewe na mwenzako kwa kujua logic hakuna anaenifikia, nimeikosoa zaidi ya moja humu ndani.Ukikataa logic umekataa ukweli
Huyo uliye mtag alijifanya kukataa logic lakini hajui hata logic ni nini
Mara ngapi nimekuambia kuwa hoja zangu ni rational na logical kulingana na premise yangu ya truth, LIFE and WAY.Kukosa majibu rational kwenye hoja hizo na ukatumia vihoja unakuwa unamfelisha Mungu wako na waumini wenzako