God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Something which is ILLOGICAL IS NOTHING, hakijawahi kuwepo popote.

Ukifikiri hili kuwa ni illogical, basi tambua kuwa huo ndio Ukamilifu/Perfection za Hesabu za Kutokea au kutotokea kwa jambo hili.

Logic ni Kuwa nje ya MIHEMKO/Hulka.

Nitakupa mfano:
Anywaye sumu ya panya na kufa, basi Ukamilifu wa Hesabu za uwezo wa sumu hiyo kumuua umefikiwa. Na yule anywaye na asife, basi tambua kuwa ukamilifu wa hesabu za uwezo wa hiyo sumu kumuua haujafikiwa.

HAIJALISHI NI HESABU GANI ZIMEFIKIWA, cha msingi hapo kila hesaabu ni Ukamilifu wa TOKEO LAKE, NAyO ndio Logic.
I totally agree, this is the code we live by.

Mtu binafsi au matendo binafsi yanajikamilishamenyewe katika mlolongo huo huo wa ukamilifu wake. Kuna sehemu nilisoma kuwa a sin carries within itself the seeds of its own destruction

Mfano nikaishi nikiamini katika kutokuwepo katika sio-maisha mwisho wa siku inajisolvu kwenye kifo kiotomati katika uhalisia huo wa kutoamini. Dhambi zote huweza kusamehewa isipokuwa kumkufuru Roho wa Mungu/Mungu. Kwa namna hiyo mkana Mungu []yupo hivyo ni logical na ataushi ukamilifu wa logic za namna hiyo na huo ni UKWELI. Ungekuwa uongo au illogical hicho kitu cha ukana Mungu kisingekuwepo kabisa!!

Lakini ikitokea mtu akaishi akaziishi logic za kuendana na uwepo na maisha mwishoni inajisolvu kiotomati kwenye uzima sambamba na logic zake.

Nahisi we jamaa umefanikiwa kuonesha jinsi mfumo mzima [LOGIC]hauna baya na mtu ni kila jambo linakamilishwa kutokana na logic zake. Kwa baadhi ya mambo ni kutokana na utashi wetu katika kuyaanzisha halafu mfumo unakamilisha bila khiyana. Respect.

Feel free kuweka sawa POINT ambazo sijaenda sawa. Naamini chuma hunoa chuma
 
Kutambua na kuishi facts zisizo na Ukamilifu wa 100% kuna tofauti gani na IMANI?
JE, SI SAHIHI KUSEMA NAWE NI WALEWALE WAISHIO KWA IMANI KAMA WATU WA DINI?

Hakuna kitu kinaitwa Uongo. Uongo ni Nothing. Popote uionapo Logic tambua ndio UKweli wenyewe.
Nilitamka hili hapo mwanzo:
Kutokuwa hivi ni Ukamilifu wa kuwa Tofauti.
2+28=1 wakati 1-2=–1. Ukiishia kwenye formula ya kwanza utaishia kwenye kiiini macho, ila ukifika ya pili utaupata UKweli kuwa Hilo Si jibu sahihi. Hili jibu ni Ukweli wa kuwa 1+28 si 1.

Logic ni Ukamilifu.

Mkuu, JE kweli unafikiri ni Nyakati za kujadili tafsiri za Kikamusi? Ingekuwa hivyo sidhani kama kungekuwa na mjadala hapa.

Hii ni hoja ya kulazimisha, hujanielewa vizuri nafikiri.

Sijawahi, Sijui.

Sijasema Logic iliyokamilika, ila LOGIC NI UKAMILIFU. Ukisema ILIYOKAMILIKA inakaribisha Uwepo wa Isiyokamilika, nao ni UWILI tayari.

Hatujadili maana za Kikamusi bali dhana bebwa na neno husika, tukihusianisha na kila kitu.
Hakuna ukamilifu wa 100%, katika chochote, hiyo nayo ni imani.

Godel's incompleteness theorems shows that.

Hivyo, tunakwenda kwa muktadha.

Thamani ya pi katika decimal ni namba ambayo haiishi.

Ila, naweza kufahamu kwamba, naweza kutumia pi to the fourth decimal place, nikajenga daraja zuri tu la kupitisha lori la tani 50.

Nitajenga daraja, nitafanya majaribio, nitaona lori la tani 50 linapita bila matatizo.

Nitajua kwamba, sihitaji kujua thamani ya pi to infinity kujenga daraja.

Huku upande wako unayetaka perfection, utashindwa kujenga daraja kwa sababu, utaona pi yako hai terminate, utataka kupata perfection katika pi kabla ya kujenge daraja.

That is the difference between me and you.

Unaposema hakuna kitu kinaitwa uongo, wakati unasema Mungu yupo, je mtu akisema Mungu hayupo hapo atakuwa muongo ama la?

Au mimi nikisema wewe haupo, wakati upo, na najua upo, na najadiliana nawe hapa JF.

Nitakuwa muongo ama la?
 
Nitakuletea ushahidi.

Je mawazo hayana mchango wowote katika Uhalisia?
Je, hujawahi kuona Mawazo ya MTU yakamgharimu?

UPI ni mpaka uliopo kati ya Mawazo na Uhalisia, ikiwa matendo mengi ya watu huanzia kwenye Mawazo?
Lete ushahidi.

Mpaka kati ya mawazo na uhalisia ni kwamba unaweza kuwaza vitu ambavyo havipo katika uhalisia, vitu kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Vitu kama pembetatu duara katika Euclidean geometry planes.

Vitu kama kuwaza kuwa wewe ndiye rais wa sasa wa Tanzania wakati si kweli.

Kuweza kuwaza vitu hivyo, havifanyi viwe kweli.
 
Jibu maswali maswali niliyo kuuliza. Suala la hili nimeshakujibu zaidi ya mara moja.

Tangu nawajua nyinyi huwa mnakimbia maswali, na kuna muda huwa tunawauliza maswali ili kuonyesha ujinga wenu ulipo.

Kwahiyo usilete kona kona, nimekuuliza maswali jibu maswali.
Nitakujibu vipi maswali yako wakati huelewi dhana nyepesi tu kama "the problem of evil"?
 
Anhaa nimeupata msimamo wako, wa kwamba ukamilifu hauendani na sifa yoyote ni just UKAMILIFU. Nakubaliana nayo kuwa ile highest 'I AM THAT IAM' unaweza kuiacha hivyo.
Of course, I. I AM EVERYTHING.
Labda kwa hatua zetu [sisi wadoooogo sana] kumuelewa Mungu kinamna hiyo kunakuwa hakuna kitu practical cha kutenda sasa kutokana na imani ya namna hiyo.
HAKIKA, kosa pia ni Kutafuta cha Kutenda, HAIPASWI. TUNACHOPASWA KUFANYA NI KUISHI TU.
Ukitafuta cha kukiabudia athari ya kwanza kubwa kutokea kwako ni KUJIKATAA, mwishowe itamalizia kuwa mtumwa wa Viini Macho fulani.
Tutaelewa vizuri tukifika level fulani, tukikaa na Yesu na kujifunza/kutawala pamoja naye.
Naweza kuona hofu ya Kufuru katika Kauli hii.
Nikuambie tu Mkuu, katika maneno mabaya na yenye uchawi mkubwa kuwahi kutokea duniani ni Neno KUFURU. Kamwe hutaweza Kufungua code yoyote ukiivaa vema dhana ya hill neno.
Wakati huo msimamo wangu ni kwamba ni ukamilifu na ni sifa zote za UKAMILIFU huo. Umenijibu mahala kwamba hiyo itaonesha ana hulka mbalimbali na uwili [uko na point], kwangu sioni kama ni hatari sana maana sijamvua personality japo tu sijamuanthropormorphize na hizo hulka ni perfection yazo; upendo, ukweli, uzima, uzuri.
Uwe makini ndugu, katika dhana hiyo kumelala zimwi katili mno la Utambuzi.
Itakuwa taabu sana kuhusiana na jitu lisilo na personality yoyote yaani liwe neutral kama LOGIC?!
Taabu hizo ni zao la Viini Macho tunavyojiundia, ni taabu kwakuwa tunahangaikia Nothing.

Ni sawa umtoe mtu nchi za baridi sana na kumleta Tropical regions na kumwambia Jua linatosha kumpa joto alilokuwa anapata kwa kuvaa makoti, na bado asikubali.

Mkuu, ISHI.
Ikishindikana kuziweka hizo sifa kwa Mungu basi ninaziweka kwa mwana wa Mungu maana hata hivyo Yeye ndio njia ya kufika hata huko kwa Mungu. I mean kuuishi huo ufalme wa Mungu maana hata sasa upo. Yeye atatusaidia kujua machaguo mazuri ambayo LOGIC yake itaishia kwenye matokeo mazuri kwa muhusika binafsi.
Biblia ni Kitabu Kizuri sana, lakini pia ni hatari sana. Si vema kila MTU akakisoma, haifai.
Kwa Yesu personality inakaa bila shida yoyote. Kwa kumtii Mwana anayemtii Baba yake unakuwa umemtii na kumkubali Mungu[Bado nimemuacha Mungu katika hali ambayo anayo Will na ndio WILL yenyewe]. Baba atukuzwe katika Mwana. And that gives us something practical to relate to.
Katika Biblia, hiki ulichokinena hapa kinakuwa sawa na Wayahidi walipohitaji Mfalme kama wenzao wengine.

Nasi Leo tunahitaji kujitengenezea maumbo ya kusadikika kuyasujudia.
 
I totally agree, this is the code we live by.
ISHI SASA.
Mtu binafsi au matendo binafsi yanajikamilishamenyewe katika mlolongo huo huo wa ukamilifu wake. Kuna sehemu nilisoma kuwa a sin carries within itself the seeds of its own destruction

Mfano nikaishi nikiamini katika kutokuwepo katika sio-maisha mwisho wa siku inajisolvu kwenye kifo kiotomati katika uhalisia huo wa kutoamini. Dhambi zote huweza kusamehewa isipokuwa kumkufuru Roho wa Mungu/Mungu. Kwa namna hiyo mkana Mungu [mfano Kiranga na Scars ]yupo hivyo ni logical na ataushi ukamilifu wa logic za namna hiyo na huo ni UKWELI. Ungekuwa uongo au illogical hicho kitu cha ukana Mungu kisingekuwepo kabisa!!

Lakini ikitokea mtu akaishi akaziishi logic za kuendana na uwepo na maisha mwishoni inajisolvu kiotomati kwenye uzima sambamba na logic zake.
Hili ni la kulitafakari hakika. Thanks.
Nahisi we jamaa umefanikiwa kuonesha jinsi mfumo mzima [LOGIC]hauna baya na mtu ni kila jambo linakamilishwa kutokana na logic zake. Kwa baadhi ya mambo ni kutokana na utashi wetu katika kuyaanzisha halafu mfumo unakamilisha bila khiyana. Respect.
Hakika. Kila litokealo limetii Hesabu za Utokeaji wake, Na Kutokutii kwa kanuni hizo ni Ukamilifu wa Kutotokea hivyo.

Embe lisipoiva ndio Ubichi wake, au ukavu au kuoza, nk..
Feel free kuweka sawa POINT ambazo sijaenda sawa. Naamini chuma hunoa chuma
Hotep!
 
Nitakujibu vipi maswali yako wakati huelewi dhana nyepesi tu kama "the problem of evil"?
Sasa sielewi vipi wakati nakukosoa kila siku na hoja huna ? Au unaandika haya kwa kujifurahisha.

Maana mjadala huu hujawahi kuuweza, sasa kama lengo lako kupoteza muda na kuandika uongo jifariji. Ila maswali yangu unatakiwa uyajibu, hatulei wajinga na watu waoga wa kujibu maswali.
 
Tatizo hujui Kiingereza.

main-qimg-506a4cc089f75a274d6780c9fa2c0279.jpg
 
Hujaweza kudhihirisha kwamba una uelewa unaotakikana kujadiliana nami.

Huwezi hata kunielezea "the problem of evil" ni nini.
Naona umeamua kujifurahisha, kwa hoja kama wewe ni mkweli hujawahi kuthibitisha hilo.

Hii kadhia kila siku nawasimamishia hoja mwisho mnakimbia ila sababu hampo kwa ajili ya kuujua ukweli.

Mimi nataka ujibu maswali yangu ili tuone najua au sijui.
 
Hakuna ukamilifu wa 100%, katika chochote, hiyo nayo ni imani.
Kwamba hata aliyetaka kusafiri kutoka Dar to Morogoro, na akafanya hivyo hakutakuwa na ukamilifu wa kufika kwake?
SASA tambua kuwa, hata akiishia Chalinze ni Ukamilifu wa Kutofika kwake.
Godel's incompleteness theorems shows that.

Hivyo, tunakwenda kwa muktadha.
Binafsi sio msomi mzuri wa theories, wala sio muumini wa theory za yeyote.
I just Live. Kama hivi hapa.
Thamani ya pi katika decimal ni namba ambayo haiishi.

Ila, naweza kufahamu kwamba, naweza kutumia pi to the fourth decimal place, nikajenga daraja zuri tu la kupitisha lori la tani 50.

Nitajenga daraja, nitafanya majaribio, nitaona lori la tani 50 linapita bila matatizo.

Nitajua kwamba, sihitaji kujua thamani ya pi to infinity kujenga daraja.
Huku upande wako unayetaka perfection, utashindwa kujenga daraja kwa sababu, utaona pi yako hai terminate, utataka kupata perfection katika pi kabla ya kujenge daraja.
Sifikiri kama mfano huu nimeuelewa vema, labda utumie njia rahisi zaidi.

Maana kwangu naona haujasemea hoja yangu.
That is the difference between me and you.
Vema.
Unaposema hakuna kitu kinaitwa uongo, wakati unasema Mungu yupo, je mtu akisema Mungu hayupo hapo atakuwa muongo ama la?
Anayesema Mungu hayupo wakati yupo huyo atakuwa Ukweli wa uwepo wa MTU asiyejua kwamba Mungu yupo.
Zingatia hatujadili neno kama neno, Bali dhana nzima ndani ya neno.
Au mimi nikisema wewe haupo, wakati upo, na najua upo, na najadiliana nawe hapa JF.
Ukijua na bado ukasema sipo, Huo utakuwa Ukweli juu ya Ubatili wako kwangu au kwa umwambiaye.
 
Lete ushahidi.

Mpaka kati ya mawazo na uhalisia ni kwamba unaweza kuwaza vitu ambavyo havipo katika uhalisia,
Lakini pia unaweza kuwaza MTO mkubwa, mti mkubwa, nyoka, panzi, kuku,nk na vikawepo.
vitu kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Kukosekana hakubatilishi kweli zote juu ya kiitwacho Mungu.
Vitu kama pembetatu duara katika Euclidean geometry planes.

Vitu kama kuwaza kuwa wewe ndiye rais wa sasa wa Tanzania wakati si kweli.
Aje kwamba Nikiwaza Mimi ni Mkulima wa Magimbi na ni kweli?
Kuweza kuwaza vitu hivyo, havifanyi viwe kweli.
Kutokuwaza kitu hakubatilishi uwepo wake pia.
 
Katika Biblia, hiki ulichokinena hapa kinakuwa sawa na Wayahidi walipohitaji Mfalme kama wenzao wengine.

Nasi Leo tunahitaji kujitengenezea maumbo ya kusadikika kuyasujudia.
Ps quote haihusiani na reply, nimechukua kakipande kadogo kuokoa nafasi, nimeshindwa kureply kwa mtindo wako yanajaa yote maelezo. Yafuatayo ni clarification zangu kwa reply zako zote;

Asante sana, Nashukuru kwa majibu ya hatua kwa hatua. Nimeamini watu wazima wenye akili mara nyingi kile tunachokiita ameelewa ni kwamba ameresonate. Nimeresonate na presentation yako ya LOGIC katika kuonesha ukamilifu wa Mungu.

Umeniwekea katika maneno concept ilokuwa haijajitanabaisha vizuri kichwani kwangu. Sasa imekaa vema.

Nikutoe wasiwasi tu nimesoma biblia na misahafu na elimu hizi nyingine baada ya kuwa nimejitambua hivyo hazijanidhuru. Siogopi ati kukufuru maneno fulanifulani. La. Na nisichokubaliana nacho katika kitabu kitakatifu [biblia/etc]chochote huwa naachana nacho bila wasi. Au nakielewa kiuhalisi wake. Mfano Bwana wa majeshi najua tu hawa wana walikuwa wanawaza vita na highest concept yao ilikuwa 'warlord' mixer utaifa na ego ndogondogo nawaelewa. Simple.

Nilivyoleta concept ya kumtii Yesu, ilikuwa ni kumfuata mfano na mafundisho yake ya namna ya kuishi. Maana hata kama tunaweza kuishi vyovyote na ikawa ni UKWELI, itabaki kuwa namna alivyoishi na kufundisha yeye kuwa ndiyo iliyo bora zaidi. Logic yake kuu ikiwa tuishi kama wana wa Mungu, tukipendana kama ndugu wa Baba mmoja - Mungu Baba ambaye ndiyo Mungu ama LOGIC ama UPENDO [Utakavyoita tu].

Ndio maana umeniambia kweli kabisa niishi nami katika fikara zangu, uelewa wangu wa hata namna nzuri ya mifumo ya kimwili inavyoishi ni hivyohivyo. Inaishi kwa kusaidiana na kwa kufanya hivyo kiotomati inakuwa imemtumikia 'kiumbe' wake [Of God, For Mankind]. So NINAISHI na ninamfuata Yesu maana naye niliresonate naye kuwa hivi haswaa ndiyo inavyopendeza kuwa. Ningeweza kuishi vyovyote ila nimechagua hii namna mimi mwenyewe - FREE-WILL
 
Kwamba hata aliyetaka kusafiri kutoka Dar to Morogoro, na akafanya hivyo hakutakuwa na ukamilifu wa kufika kwake?
SASA tambua kuwa, hata akiishia Chalinze ni Ukamilifu wa Kutofika kwake.

Binafsi sio msomi mzuri wa theories, wala sio muumini wa theory za yeyote.
I just Live. Kama hivi hapa.

Sifikiri kama mfano huu nimeuelewa vema, labda utumie njia rahisi zaidi.

Maana kwangu naona haujasemea hoja yangu.

Vema.

Anayesema Mungu hayupo wakati yupo huyo atakuwa Ukweli wa uwepo wa MTU asiyejua kwamba Mungu yupo.
Zingatia hatujadili neno kama neno, Bali dhana nzima ndani ya neno.

Ukijua na bado ukasema sipo, Huo utakuwa Ukweli juu ya Ubatili wako kwangu au kwa umwambiaye.

Dar na Morogoro ni point za kufikirika.

Dunia inazunguka jua.

Ukianza safari time A ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakati huo Morogoro ikiwa coordinates A za spacetime, by the time unafika Morogoro, Morogoro yenyewe ishasogea kutoka coordinate A kwenda B, na huyo mtu kashabadilika kutoka age A kuwa age B.

Sasa nani kafika Morogoro na Morogoro iko wapi?

Ndiyo maana suala la muktadha ni muhimu sana.

Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Huwezi kuthibitisha hilo.

Kwa sababu hayupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inakanushwa nanulimwengu uliopo, kwa the problem of evil.
 
Sijaona uhusiano wangu na kutokujua jambo hili, kama ningekuwa sijui kweli.

Sasa usinitoe kwenye hoja ya msingi hili ni dogo sana, nataka ujibu maswali niliyo kuuliza. Hatulei watu wajinga na waoga wa kujibu maswali.
Wewe hoja hata ukiiona hutaijua.

Ndoyo maana mpaka sasa hujaelewa "the problem of evil" ni nini.

Na kama hujaelewa hilo, huwezi kujadiliana nami.
 
Naona umeamua kujifurahisha, kwa hoja kama wewe ni mkweli hujawahi kuthibitisha hilo.

Hii kadhia kila siku nawasimamishia hoja mwisho mnakimbia ila sababu hampo kwa ajili ya kuujua ukweli.

Mimi nataka ujibu maswali yangu ili tuone najua au sijui.
Yani hata kama mimi sinm mkweli, wewe hujaelewa "the problem of evil" ni nini.

Kama unabisha, elezea hapa kwa maneno yako tuelewe umeelewa.
 
Wewe hoja hata ukiiona hutaijua.

Ndoyo maana mpaka sasa hujaelewa "the problem of evil" ni nini.

Na kama hujaelewa hilo, huwezi kujadiliana nami.
Nacheka sana leo nimekuwa sielewi wakati kila siku nakukosoa jambo hili hili. Hapa hakuna kukimbia maswali.

Huyo ameenda mapito yale yale ya Logic na namna dhaifu ya kufikia hitimisho. Yaani anatengeneza wazo lake kisha anajijibu mwenyewe pasi na kuchukua taarifa kamili juu ya Mola na sifa zake. Hili ndiyo kila siku tunawaambia nyinyi mnachukua jambo kiujumla jumla pasi na kuanishia na kuingia ndani zaidi, mwisho wa siku mnakosea katika kufikia hitimisho.

Ndiyo maana kuna siku nilivyo kuwa nakukosoa juu ya "Logic" nikakwambia itabidi tuje kujadiliana kuhusu "Concept" na "Definitions" sababu najua msingi wa "Logic".

Mimi nakupa dodoso tu, ila hapa unatakiwa ujibu maswali niliyo kuuliza.
 
Dar na Morogoro ni point za kufikirika.
Si kweli. Labda tu kwa hoja za unasibu wa Lugha.
Dunia inazunguka jua.

Ukianza safari time A ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakati huo Morogoro ikiwa coordinates A za spacetime, by the time unafika Morogoro, Morogoro yenyewe ishasogea kutoka coordinate A kwenda B,
Yes, Morogoro itasogea kutoka point fulani, lakini bado Ukweli utakuwa ni Morogoro katika Point A, B, C, D,.......
na huyo mtu kashabadilika kutoka age A kuwa age B.
Umri/Muda ni tokeo la Uwili, katika Ukamilifu wako Wewe Ndiye katika namana zote, Uumwapo, udogoni, uzeeni, katika FURAHA, katika hudhuni, nyumbani, au ugenini, mk...

Kinachotatiza Ukweli juu yako ni Uwili wako, lakini kimsingi u katika Umoja katika Umoja.
Sasa nani kafika Morogoro na Morogoro iko wapi?
Ni Mimi, na Morogoro IPO hapa katika coordinate A, au pale katika Coordinate B, C,D, E, nk....
Ndiyo maana suala la muktadha ni muhimu sana.
Hili ni wewe sasa wa kulizingatia maana umekuwa Mara nyingi ukihangaikia Theory za wengine na Maana za Kikamusi.
Hujathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Hoja yangu kwako ni Juu ya Uwepo wa Mungu, si Mungu fulani.
Lakini pia katika kuzingatia Muktadha, ni vema pia nawe ukawa unajipa wakati wa kutafakari dhana bebwa na Maneno Ujuzi, Uwezo, na Upendo wote.
Huwezi kuthibitisha hilo.

Kwa sababu hayupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwapo kwake inakanushwa nanulimwengu uliopo, kwa the problem of evil.
Kutokuwepo huyo hakubatilishi uwepo wa Mungu/Ukamilifu.

The Problem of Evil ni Fumbo, What is Evil? Je, ni maumivu? Hudhuni? Je, ni mguso hasi wa Matamanio au hulka zetu, kama ndivyo basi hizo ni NOTHING/VIINI MACHO.

Maisha ni rahisi sana shida ni Hulka zetu to vanities.
 
Yani hata kama mimi sinm mkweli, wewe hujaelewa "the problem of evil" ni nini.

Kama unabisha, elezea hapa kwa maneno yako tuelewe umeelewa.
Sasa nielezee vipi wakati kila siku nakukosoa, wewe hilo kwangu rahisi na picha uliyo itoa iko wazi na inaonyesha udhaifu mkubwa sana katika namna ya kuhoji, kwanza mtiririko huo na namna alivyofikia hitimisho ameacha mambo mengi sana kuhusu Mola muumba, yaani alikuwa hamjui.

Ndiyo maana Imam Ibn Taymiya katika kitabu chake "Radd 'ala Mantiqiyiin" akasema Wanafalsa walikuwa wanafikiria juu ya maswali sahihi lakini walikosa njia za kuyapata majibu sahihi.

Mfano swali la pili, kwamba je Mola anajua kuhusu maovu au uovu wote ? Jibu ni "NDIYO" anajua tena anajua in "general" na anajua "in details", akajibu "NO" sasa nakuuliza wewe swali, ambaye unaona hii hoja, kwanini amesema "NO" ? Na kwanini hajaweka "YES" ?

Sasa wewe katika bado mdogo sana, nakupa dodoso tu, hapa nataka ujibu maswali yote ninayo kuuliza.
 
Back
Top Bottom