Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
I totally agree, this is the code we live by.Something which is ILLOGICAL IS NOTHING, hakijawahi kuwepo popote.
Ukifikiri hili kuwa ni illogical, basi tambua kuwa huo ndio Ukamilifu/Perfection za Hesabu za Kutokea au kutotokea kwa jambo hili.
Logic ni Kuwa nje ya MIHEMKO/Hulka.
Nitakupa mfano:
Anywaye sumu ya panya na kufa, basi Ukamilifu wa Hesabu za uwezo wa sumu hiyo kumuua umefikiwa. Na yule anywaye na asife, basi tambua kuwa ukamilifu wa hesabu za uwezo wa hiyo sumu kumuua haujafikiwa.
HAIJALISHI NI HESABU GANI ZIMEFIKIWA, cha msingi hapo kila hesaabu ni Ukamilifu wa TOKEO LAKE, NAyO ndio Logic.
Mtu binafsi au matendo binafsi yanajikamilishamenyewe katika mlolongo huo huo wa ukamilifu wake. Kuna sehemu nilisoma kuwa a sin carries within itself the seeds of its own destruction
Mfano nikaishi nikiamini katika kutokuwepo katika sio-maisha mwisho wa siku inajisolvu kwenye kifo kiotomati katika uhalisia huo wa kutoamini. Dhambi zote huweza kusamehewa isipokuwa kumkufuru Roho wa Mungu/Mungu. Kwa namna hiyo mkana Mungu []yupo hivyo ni logical na ataushi ukamilifu wa logic za namna hiyo na huo ni UKWELI. Ungekuwa uongo au illogical hicho kitu cha ukana Mungu kisingekuwepo kabisa!!
Lakini ikitokea mtu akaishi akaziishi logic za kuendana na uwepo na maisha mwishoni inajisolvu kiotomati kwenye uzima sambamba na logic zake.
Nahisi we jamaa umefanikiwa kuonesha jinsi mfumo mzima [LOGIC]hauna baya na mtu ni kila jambo linakamilishwa kutokana na logic zake. Kwa baadhi ya mambo ni kutokana na utashi wetu katika kuyaanzisha halafu mfumo unakamilisha bila khiyana. Respect.
Feel free kuweka sawa POINT ambazo sijaenda sawa. Naamini chuma hunoa chuma