Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Ndiyo kombe hilohilo lililotoa goli bora la Caf, na ni kombe hilohilo lililosababisha dunia nzima ifahamu uchawi wenu kwa kuwanga hadharani kwenye nchi za watuKi ukweli hilo kombe halina mvuto sababu lina timu dhaifu ambazo ukiwauliza hata wao hizo timu ni za wapi hawazijui. Ndiyo Maana hata Mashabiki wa hizo timu hawalifatilii wako busy na klabu bingwa kuandika HabarI za simba vs Wydad , Ahyl vs Raja n.k.