Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Ki ukweli hilo kombe halina mvuto sababu lina timu dhaifu ambazo ukiwauliza hata wao hizo timu ni za wapi hawazijui. Ndiyo Maana hata Mashabiki wa hizo timu hawalifatilii wako busy na klabu bingwa kuandika HabarI za simba vs Wydad , Ahyl vs Raja n.k.
Ndiyo kombe hilohilo lililotoa goli bora la Caf, na ni kombe hilohilo lililosababisha dunia nzima ifahamu uchawi wenu kwa kuwanga hadharani kwenye nchi za watu
 

Attachments

  • Makol6.jpg
    Makol6.jpg
    32.4 KB · Views: 2
Ijumaa ndio mwisho wa kelele zenu.

Mtajiunga na ihefu, gwambina

Mwakani sisi tutaenda CAFCL kama mabingwa nyinyi kama wapambe tu
 
Hivi na nyie huwa mnamchukulia siriaz huyo ndumilakuwili
 
SIMBA ANALIPWA BILIONI 1 NA MILIONI MIA TANO.

YANGA ANALIPWA MILIONI MIA NANE.

Aafu Hawa vichaa akina komwe wanalinganisha
 
Back
Top Bottom