Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

Ukiona uko eneo lako la kazi alafu kila jambo zuri likitokea wewe ndiye unasifiwa na kupongezwa basi ujue pakiharibika wewe ndiye utabeba lawama zote...

Mechi ya Argentina na Saudia waliyopoteza hakuna mtu aliyehangaika kupost picha ya kipa aliyefungwa wala ya mabeki wazembe, kila mtu alikuwa Busy kuweka picha ya messi na kukejeli kwamba zama zake zimepita yaani messi ndiye aliyebebeshwa lawama zote...

Sasa Argentina wakishinda lazima tukubali yeye ndiye wa Kupongezwa zaidi.
 
Ukweli mtupu ,Messi na Ronaldo ni most overrated players zaidi nilio wahi kuwaona, Yani Wao huhitaji goli moja tu kwenye mechi hata kama ni la Penalty utasikia ametangazwa Man Of the match.
 
Back
Top Bottom