Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 830
- 2,241
Ukiona uko eneo lako la kazi alafu kila jambo zuri likitokea wewe ndiye unasifiwa na kupongezwa basi ujue pakiharibika wewe ndiye utabeba lawama zote...
Mechi ya Argentina na Saudia waliyopoteza hakuna mtu aliyehangaika kupost picha ya kipa aliyefungwa wala ya mabeki wazembe, kila mtu alikuwa Busy kuweka picha ya messi na kukejeli kwamba zama zake zimepita yaani messi ndiye aliyebebeshwa lawama zote...
Sasa Argentina wakishinda lazima tukubali yeye ndiye wa Kupongezwa zaidi.