Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Usiseme matokeo hayawezi kubadilika, Yanga wanapeleka malalamiko ya match fixing Mamelody anaondolewa Yanga wanapewa ushindi. Inawezekana kabisa without a doubt
 
Haya mnayoshutumu Mamelodi na Motsepe ni hayo hayo mnashutumiwa huku mkicheza na kina Ihefu, mkuki kwa nguruwe...... kama hayo maneno ya kweli basi ile elbow refa angetoa penalty tu na Lomalisa angempa red tu na wala isingekuwa issue kubwa. VAR wamesema sio goal basi haya yanatokea kwenye mpira lakini zaidi hatujui wametumia tech gani kujirishisha mpira haukuvuka wote line ili kutoa uamuzi ni lazima uwe 100% sure mpira umevuka.
 
Ukimaliza kuwabwaja Tafuta magoli ya Kagera na Namungo dhidi ya Yanga kwenye Ligi pia uwashauri wahanga. Kila mbambe ana mbabe wake na Karma is real.
 
Kwa Aina ya timu tuliyonayo kuwakosa key players pia ni tatizo.

Na tukubali ukweli Pengo la Mayele bado halijazibwa.

Mayele mechi kubwa kama hizi alikuwa anaziamuwa.

Mzinze si mtu wa kuweka natumaini kwake, ni walewale kina Kibu Denis Wana bidii lakini hawana vipaji.
 
Usiseme matokeo hayawezi kubadilika, Yanga wanapeleka malalamiko ya match fixing Mamelody anaondolewa Yanga wanapewa ushindi. Inawezekana kabisa without a doubt
Lete ushahidi wa match fixing.
 
Refa haendi VAR kuangalia offside na goli kuvuka mstari

Anachoenda kuangalia ni penaty na potential red card

Hivo vingine anapewa taarifa tuu na VAR ama wenzetu ulaya mpira ukivuka tuu saa inavibrate

Na saa itavibrate endapo mpira utavuka wote bila kubaki hata punje.

Na ange inayoamua ni angle ya juu
 
Ukiwaambia haya mashabiki wa Yanga, ndo wanavurugwa kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mpira una uangaliaga peke yako? Wacha urongo wewe. Ni mara ngapi tunashuhudia marefa wanaenda kuhakikisha kama it was a clear goal or not
 
Huyo refa ni Arajiga wa Mamelody kama alivyo Arajiga wa Yanga anavyowabeba kwenye NBC league na Azam Confederation Cup. Kwa hiyo mmeamini malipo ni hapa hapa duniani. Tuna mechi kibao ambazo Yanga imezulumu ushindi wa timu nyingine kwa sababu tu ya refa kama Arajiga na wengineo wenye mahaba na Yanga. Na mkiendelea kukaza fuvu nitaweka clip zake hapa.
 
Katika kuangalia kwangu mpira nilishangaa refa kukataa lile goli maana hata kabla ya VAR mpira ulivyogonga ndani na kutoka nje unaonyesha kabisa mpira uliingia ndani ila refa hakutaka kabisa kufatilia marudio ya VAR daah rushwa ni mbaya sana jamaa wananunua wachezaji wa gharama na wanatoa rushwa ili wapate makombe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…