Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza kuwabwaja Tafuta magoli ya Kagera na Namungo dhidi ya Yanga kwenye Ligi pia uwashauri wahanga. Kila mbambe ana mbabe wake na Karma is real.Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, NI Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazi, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Wahindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Kwa Aina ya timu tuliyonayo kuwakosa key players pia ni tatizo.Motsepe ndiye CAF...
Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...
Next season Yanga ajitahidi asajili kimkakati, aongeze hata strikers wawili wenye njaa, atasumbua kama mwaka huu...
Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?View attachment 2955309
SABC wao walishahesabu
shemeji wa rais wa nchiAfrica ni sehemu nzuri sana kuishi ila kumejaa watu wasiofaa kuishi nao,ni wanyama mfano mzuri ni huyo motsepe sijui.
Lete ushahidi wa match fixing.Usiseme matokeo hayawezi kubadilika, Yanga wanapeleka malalamiko ya match fixing Mamelody anaondolewa Yanga wanapewa ushindi. Inawezekana kabisa without a doubt
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wao wanataka uipende? Ukiipenda uto inatosha bwasheee. WoiiiiihHiyo team sijui mamulodi sitakuja niipende tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ikifika saa sita mchana mtaenda nusu fainali msijari
Sio rahisi.Usiseme matokeo hayawezi kubadilika, Yanga wanapeleka malalamiko ya match fixing Mamelody anaondolewa Yanga wanapewa ushindi. Inawezekana kabisa without a doubt
Refa haendi VAR kuangalia offside na goli kuvuka mstariGumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, NI Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazi, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Wahindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Wee unachekesha kweli, hicho unachokitaka hakipoo.Usiseme matokeo hayawezi kubadilika, Yanga wanapeleka malalamiko ya match fixing Mamelody anaondolewa Yanga wanapewa ushindi. Inawezekana kabisa without a doubt
Ushahidi wa kimazingira. Kwanini refa alikataa kwenda kutazama var ya goli?Lete ushahidi wa match fixing.
Ukiwaambia haya mashabiki wa Yanga, ndo wanavurugwa kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Refa haendi VAR kuangalia offside na goli kuvuka mstari
Anachoenda kuangalia ni penaty na potential red card
Hivo vingine anapewa taarifa tuu na VAR ama wenzetu ulaya mpira ukivuka tuu saa inavibrate
Na saa itavibrate endapo mpira utavuka wote bila kubaki hata punje.
Na ange inayoamua ni angle ya juu
Huyo mpira una uangaliaga peke yako? Wacha urongo wewe. Ni mara ngapi tunashuhudia marefa wanaenda kuhakikisha kama it was a clear goal or notRefa haendi VAR kuangalia offside na goli kuvuka mstari
Anachoenda kuangalia ni penaty na potential red card
Hivo vingine anapewa taarifa tuu na VAR ama wenzetu ulaya mpira ukivuka tuu saa inavibrate
Na saa itavibrate endapo mpira utavuka wote bila kubaki hata punje.
Na ange inayoamua ni angle ya juu
Wangepewa kadiHivi kwanini wachezaji wa Yanga hawakumzonga refa kwenda kwenye VAR?
Usipoipenda haiwapunguzii kituHiyo team sijui mamulodi sitakuja niipende tena