Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 215
- 392
Afadhali simba tumebamizwa kihalali bila mbambamba Sasa yanga Hilo goli litawauma kinoma maana ni goli halali kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ni best loser. Wazee wa Cairo nao sijui watakuja na story gani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanga wapite kwa kukosa penalt? Mbona Williams ataandamana, yaan kudaka ile mishale iwe kazi buree kwake, wee huogopiiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumeshazoea kufurushwa Robo, wala hakuna jana shabiki wa lunyasi alitegemea kuvuka, labda Bahati iamue.Yani mnavyocheka na kufurahi ni kama vile hamjapigwa nje ndani [emoji28][emoji28]
Vipi ile penati ya Tanzania Prisons iliyokataliwa na refa na akatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa T. PrisonsNyerere aliona mbali kukemea rushwa
Rushwa ni adui wa haki rushwa inaumiza sana moyo
Moyo wangu umeumia sana tukio la jana
Kumbe mtoano una best loser.Yanga ni best loser. Wazee wa Cairo nao sijui watakuja na story gani.
Sasa Ahmed Ally ndio alikuwa analilia mashabiki walipiwe nauli.
Wewe katafute basha kwenye thread nyingine.Vipi ile penati ya Tanzania Prisons iliyokataliwa na refa na akatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa T. Prisons
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimewarambaaaa wana uto, mmevurugwa balaaaYanga ni best loser. Wazee wa Cairo nao sijui watakuja na story gani.
Sasa Ahmed Ally ndio alikuwa analilia mashabiki walipiwe nauli.
Umemaliza Mkuu ..binafsi nimeelewaGumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, NI Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazi, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Wahindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Na hilo tatizo la timu zetu za Tanzania, kwa wachezaji wazoefu na VAR pale wangemzonga refa mpaka akajiridhishe kwenye VAR. japokuwa inaweza ikasaidia kama kulikuwa hakuna mpango wowote wa kuibeba Mamelod ila kama kuna huo mpango kocha atalazimisha tu mpira uendelee. Mechi ya nyumbani VAR haikufanyiwa haki kwa Yanga na mechi ya jana pia VAR haikuitendea haki Yanga. Ni kama hakukuwa na VAR kwenye hatua hii. Mbona kwenye AFCON hiyo VAR waliitumia ipasavyo kutoa maamuzi ya haki inapostahiliNa ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa ni wa kuwaonea huruma tyuuhKumbe mtoano una best loser.
Huwa nasemaga umbumbumbu upo na mbumbumbu wapo ni km huyo sasa..kushindwa kuficha umbumbumbu wakeWewe katafute basha kwenye thread nyingine.
Hapa tunajadili CAF tournament, waamuzi wote Wana beji za Caf na kuna VAR.
Na jambo hili ujifunze kazi au sheria ya VAR sio kukubali goli bali ni kukataa goli kwa sababu ya offside , infringement,handball .Waambie hakuna kitu wanakijua kuhusiana na VAR ,hata waamuzi waliona wameingia kwenye mtengo kama wangekubali goli halali kabisa kwa VAR ,wangefungiwa lakini wakasahihisha haraka .Goal line technology ndio inajukumu ya kukubali goli kama mpira umevuka 100% na technology hiyo bado sana africa ,kama VAR inatulika kuanzia Quarter je goal line technology?Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, NI Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazi, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Wahindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Hawataki kabisa kuzungumzia ya kwao....ila nasikia walicheza JanaKwani Simba nayo Jana ilikuwa inacheza?
Kinachonishangaza Al Ahaly wanakufaga bao 5 Kwa Mamelodi wanakwama wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimewarambaaaa wana uto, mmevurugwa balaaa
Figisu za wa miliki wa CAF ndio zimetutoa. Ila sio kesi, sisi sio milima 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumeshazoea kufurushwa Robo, wala hakuna jana shabiki wa lunyasi alitegemea kuvuka, labda Bahati iamue.
Ila nyie wageni ndo mnaona ajabu, maana mmevurugwaa balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiih
Sio kweli! Nini maana ya kuekwa 2 legs, ukishindwa 1 unaweza kutumia ya pili kupata ushindi...TusikaririMotsepe ndiye CAF...
Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...
Next season Yanga ajitahidi asajili kimkakati, aongeze hata strikers wawili wenye njaa, atasumbua kama mwaka huu...
Sasa ulitegemea Orlando pirates na Kaizer Chiefs wawe upande wa Mamelodi ambaye anawabonda kila siku?Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.