Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.

Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.

South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.

Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.

Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?

Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.

Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.

Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Jana watu wamemfata refa kweny account zake zote za social media baada ya kuona mambo mazito akapiga block zote huwez comment chochote
 
Sasa ulitegemea Orlando pirates na Kaizer Chiefs wawe upande wa Mamelodi ambaye anawabonda kila siku?

Mamelodi ndiyo timu tishio pale Bondeni anachukua ubingwa wa ligi ya PSL atakavyo so don't expect hao wapinzani wake eti wamzungumzie kwa mazuri.
Ukiwasikiliza wenyewe wanakwambia Motsepe anatakatisha pesa zake kwenye timu.
 
Kuna hatua lazima zichukuliwe kuweka kumbukumbu Sawa.

Hatutaki ushindi wa mezani lakini refa aadhibiwe.

Kwani Eng Hersi naye si ana kacheo Ka mchongo uko CAF?

Hili haliwezi kuisha kimyakimya lazima refa aadhibiwe otherwise tutasema Yanga imeshiriki kupanga matokeo ndio maana key players watatu tumewakosa.

Eng Hersi popote ulipo, usikubali kukinywa kikombe hiki, ukikata kimya bila kufile malalamiko na ushahidi CAF na wewe tutakuingiza kwenye kuñdi la waliochukuwa bahasha za Motsepe.
Tunarudi kule kule. Mpira wa Tanzania unachezwa kwa maneno kuliko mwili. Maneno meeeeeengi lakini hakuna kitakachobadilika.
 
Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.

Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.

South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.

Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.

Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?

Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.

Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.

Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.

View: https://youtu.be/gcAH4Qm5M84?feature=shared
Yanga sio wa kwanza kupitia hayo maumivu. England wakati wa world cup walipitia kadhia kama hiyo wao wakaja na goal line technology. Kwa case hiyo VAR haiwezi kuwa solution hivyo Mwenyekiti wa Vilabu Africa aende na proposal ya kutumia goal line technology kama ambavyo sasa VAR inatumika.
Lakini pia Yanga na Simba wamekuwa wanufaika wakubwa sana kwenye league kutokana na maamuzi mabovu ya marefa. Sasa Yanga wameonja utamu wa kudhulumiwa.
 
Sijaelewa hapa unapinga hoja gani...
'Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...'
 
Walichokosea yanga ni kukubali maamuzi ya refa kwa haraka. Wangegomea hata dakika kadhaa wakishinikiza refa akacheki var angefanya hivyo.
 
Kinachonishangaza Al Ahaly wanakufaga bao 5 Kwa Mamelodi wanakwama wapi?

Maana fainali wanacheza Al Ahaly na Mamelodi.

Mechi ya Jana ndio ilikuwa ya kuamuwa bingwa wa kombe hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umevurugwaa had wa kuonewa huruma, poleeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umevurugwaa had wa kuonewa huruma, poleeee
Nionee huruma basi niingize japo kichwa tu.
 
Attachments

  • IMG-20240227-WA0086.jpg
    IMG-20240227-WA0086.jpg
    98.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom