Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanga wapite kwa kukosa penalt? Mbona Williams ataandamana, yaan kudaka ile mishale iwe kazi buree kwake, wee huogopiiii?
Yanga ni best loser. Wazee wa Cairo nao sijui watakuja na story gani.

Sasa Ahmed Ally ndio alikuwa analilia mashabiki walipiwe nauli.
 
Yani mnavyocheka na kufurahi ni kama vile hamjapigwa nje ndani [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumeshazoea kufurushwa Robo, wala hakuna jana shabiki wa lunyasi alitegemea kuvuka, labda Bahati iamue.

Ila nyie wageni ndo mnaona ajabu, maana mmevurugwaa balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiih
 
Vipi ile penati ya Tanzania Prisons iliyokataliwa na refa na akatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa T. Prisons
Wewe katafute basha kwenye thread nyingine.

Hapa tunajadili CAF tournament, waamuzi wote Wana beji za Caf na kuna VAR.
 
Yanga ni best loser. Wazee wa Cairo nao sijui watakuja na story gani.

Sasa Ahmed Ally ndio alikuwa analilia mashabiki walipiwe nauli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimewarambaaaa wana uto, mmevurugwa balaaa
 
Umemaliza Mkuu ..binafsi nimeelewa
 
Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
Na hilo tatizo la timu zetu za Tanzania, kwa wachezaji wazoefu na VAR pale wangemzonga refa mpaka akajiridhishe kwenye VAR. japokuwa inaweza ikasaidia kama kulikuwa hakuna mpango wowote wa kuibeba Mamelod ila kama kuna huo mpango kocha atalazimisha tu mpira uendelee. Mechi ya nyumbani VAR haikufanyiwa haki kwa Yanga na mechi ya jana pia VAR haikuitendea haki Yanga. Ni kama hakukuwa na VAR kwenye hatua hii. Mbona kwenye AFCON hiyo VAR waliitumia ipasavyo kutoa maamuzi ya haki inapostahili
 
Na jambo hili ujifunze kazi au sheria ya VAR sio kukubali goli bali ni kukataa goli kwa sababu ya offside , infringement,handball .Waambie hakuna kitu wanakijua kuhusiana na VAR ,hata waamuzi waliona wameingia kwenye mtengo kama wangekubali goli halali kabisa kwa VAR ,wangefungiwa lakini wakasahihisha haraka .Goal line technology ndio inajukumu ya kukubali goli kama mpira umevuka 100% na technology hiyo bado sana africa ,kama VAR inatulika kuanzia Quarter je goal line technology?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimewarambaaaa wana uto, mmevurugwa balaaa
Kinachonishangaza Al Ahaly wanakufaga bao 5 Kwa Mamelodi wanakwama wapi?

Maana fainali wanacheza Al Ahaly na Mamelodi.

Mechi ya Jana ndio ilikuwa ya kuamuwa bingwa wa kombe hili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumeshazoea kufurushwa Robo, wala hakuna jana shabiki wa lunyasi alitegemea kuvuka, labda Bahati iamue.

Ila nyie wageni ndo mnaona ajabu, maana mmevurugwaa balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiih
Figisu za wa miliki wa CAF ndio zimetutoa. Ila sio kesi, sisi sio milima 😅
 
Sio kweli! Nini maana ya kuekwa 2 legs, ukishindwa 1 unaweza kutumia ya pili kupata ushindi...Tusikariri

Nakubaliana na wewe kua tuongeze strikers hata wawili.
 
Watanzania wamezoea rushwa rushwa tu sasa motsepe ana husika nini zile dhana za kua karia ana wabeba simba!
 
Sasa ulitegemea Orlando pirates na Kaizer Chiefs wawe upande wa Mamelodi ambaye anawabonda kila siku?

Mamelodi ndiyo timu tishio pale Bondeni anachukua ubingwa wa ligi ya PSL atakavyo so don't expect hao wapinzani wake eti wamzungumzie kwa mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…