Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Jana watu wamemfata refa kweny account zake zote za social media baada ya kuona mambo mazito akapiga block zote huwez comment chochote
 
Sasa ulitegemea Orlando pirates na Kaizer Chiefs wawe upande wa Mamelodi ambaye anawabonda kila siku?

Mamelodi ndiyo timu tishio pale Bondeni anachukua ubingwa wa ligi ya PSL atakavyo so don't expect hao wapinzani wake eti wamzungumzie kwa mazuri.
Ukiwasikiliza wenyewe wanakwambia Motsepe anatakatisha pesa zake kwenye timu.
 
Tunarudi kule kule. Mpira wa Tanzania unachezwa kwa maneno kuliko mwili. Maneno meeeeeengi lakini hakuna kitakachobadilika.
 

View: https://youtu.be/gcAH4Qm5M84?feature=sharedYanga sio wa kwanza kupitia hayo maumivu. England wakati wa world cup walipitia kadhia kama hiyo wao wakaja na goal line technology. Kwa case hiyo VAR haiwezi kuwa solution hivyo Mwenyekiti wa Vilabu Africa aende na proposal ya kutumia goal line technology kama ambavyo sasa VAR inatumika.
Lakini pia Yanga na Simba wamekuwa wanufaika wakubwa sana kwenye league kutokana na maamuzi mabovu ya marefa. Sasa Yanga wameonja utamu wa kudhulumiwa.
 
Sijaelewa hapa unapinga hoja gani...
'Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...'
 
Walichokosea yanga ni kukubali maamuzi ya refa kwa haraka. Wangegomea hata dakika kadhaa wakishinikiza refa akacheki var angefanya hivyo.
 
Kinachonishangaza Al Ahaly wanakufaga bao 5 Kwa Mamelodi wanakwama wapi?

Maana fainali wanacheza Al Ahaly na Mamelodi.

Mechi ya Jana ndio ilikuwa ya kuamuwa bingwa wa kombe hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umevurugwaa had wa kuonewa huruma, poleeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umevurugwaa had wa kuonewa huruma, poleeee
Nionee huruma basi niingize japo kichwa tu.
 

Attachments

  • IMG-20240227-WA0086.jpg
    98.8 KB · Views: 3
Mlitolewa na Aziz ki, Job na bacca, kwa kukosa penalt,
Acha kusingizia wasio husika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Sawaaa tukutane NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…