Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Walichokosea yanga ni kukubali maamuzi ya refa kwa haraka. Wangegomea hata dakika kadhaa wakishinikiza refa akacheki var angefanya hivyo.
Wangepewa kadi mazee huyu refa mara nyingi anasafiri na Al Ahly mechi anachezesha hovyo sana kuwapendelea Al Ahly..
 
Ndio mpira wa Afrika ulivyo....unakumbuka Simba na Orlando...lile goli la offside?
 
Kaangalie timu kubwa England kwenye kombe la Dunia Lampard alifunga Goli la hivo na likakataliwa sembuse Yanga ,timu ndogo haina hata mashabiki million 4 Africa
 
Mm staki kusikia chochote
Mm sitaki kusikia lolote
 
Ukimaliza kuwabwaja Tafuta magoli ya Kagera na Namungo dhidi ya Yanga kwenye Ligi pia uwashauri wahanga. Kila mbambe ana mbabe wake na Karma is real.
Na nyie msiache kumkumbuka Tatu Malogo kwenye ufalme wenu!
Uzuri hawa Mamelod mliwapa sifa zote walipopangwa na Yanga! Leo wanasonga mbele kwa mauza uza!!!!
 
Case iishie hapa Africa hatuna goal technology sioni refa akiadhibiwa hapa
 
Case iishie hapa Africa hatuna goal technology sioni refa akiadhibiwa hapa
Anaadhibiwa vizuri tu kama hakuna hiyo technology ndo inatakiwa atumie var sasa,achana na hao wanaosema goal haliangaliwi kwenye var wakati kazi ya var ni kutoa utata unaopatikna ndani ya uwanja
 
uzuri ni kwamba na wewe mwenyewe umekiri yanga imedhurumiwa...
 
Wangepewa kadi mazee huyu refa mara nyingi anasafiri na Al Ahly mechi anachezesha hovyo sana kuwapendelea Al Ahly..
Sasa Al ahly ndo mlicheza nao jana pale South Africa?
Umesha vurugwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na nyie msiache kumkumbuka Tatu Malogo kwenye ufalme wenu!
Uzuri hawa Mamelod mliwapa sifa zote walipopangwa na Yanga! Leo wanasonga mbele kwa mauza uza!!!!
Songa mbele wee kwa manunuzi nunuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…