Wachezaji wa Tanzania wajifunze wanapokuwa kimataifa.Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
Unatafuta basha, lini kwenye ligi Yanga imepewa ushindi wa mezani?Yaani wewe sio muumini wa ushindi wa mezani halafu ni mshabiki wa Yanga hivi unajielewa kweli?
Hao wakina Kagera,,Geita anavyozifunga kimizengwe mizengwe huwaga unakuwa wapi kukemea
'Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...'
Nimekuelewa mkuuHuenda hukutumia muda kutafakari maelezo yangu ya awali, maana maelezo yapo wazi kabisa...
Pengine tugusie vitu hivi kama uliitazama mechi ya kwanza na ya pili kiufundi (weka upenzi wa Yanga pembeni)...
1. Timu iliyopata nafasi za wazi nyingi za ku-score ilikuwa ni Yanga, wastani wa nafasi za wazi kama 3 au 4 hivi, wangezitumia vyema wangepata goli 1 hadi 2...(ukosefu wa strikers makini)
2. Yanga katika mechi zote mbili, waliweza kuwadhibiti Sundowns kufika langoni mwao hivyo kupunguza hatari ya kufungwa, ukihesabu nafasi za wazi za Sundowns kufunga ni chache kuliko za Yanga...
3. Yanga wangekuwa na mtaji wa hata goli moja kwenye mechi ya kwanza, Sundowns angekuwa kwenye pressure zaidi kwenye mechi ya pili, na uwezekano wa kufanya makosa zaidi ambayo yangeweza kupelekea kuadhibiwa na Yanga zaidi (Yanga wapo vizuri sana kwenye kutumia makosa kwa sababu wanashambulia kwa counter attack)
4. Kocha yeyote kwenye mechi za mtoano huwa anataka amalize mchezo kwenye first leg, halafu kwenye second leg anacheza kwa umakini kulinda ushindi huku akitumia nafasi zinazopatikana kunenepesha ushindi wa awali...
Conclusion: Kiufundi katika mechi zote mbili Yanga 60%, Sundowns 40%...
Sasa Dr hoao mashabiki wa Jana wametokea wapi mbna walikuwa na vibeNdio sababu inachukiwa South Africa licha ya kuwakilisha nchi vizuri.
Na Kwa hii issue ya jana ukimwambia Mzulu asapoti Mamelodi atakutukana ”Msunu"
Nimekuelewa mkuu
Sisteri si unganisha taarifa hapo najua upo sawa kama Al Ahly wanapendelewa na huyo huyo refa attachable kuwapendelea hao Matajiri..Sasa Al ahly ndo mlicheza nao jana pale South Africa?
Umesha vurugwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ya ww unajua kuna uwepo wao..Hiyo team sijui mamulodi sitakuja niipende tena
Uwanja haukujaa, na siyo uwanja mkubwa Sana na wanafunzi waliingia bure.Sasa Dr hoao mashabiki wa Jana wametokea wapi mbna walikuwa na vibe
Nafikiri ulikuwa hujazaliwa au la ulikuwa unanyonya au bado unachunga ng'ombe kwenu hydom na kwa hizi comments zenu, Rage anazidi kuchukua points za mezani.Kaangalie timu kubwa England kwenye kombe la Dunia Lampard alifunga Goli la hivo na likakataliwa sembuse Yanga ,timu ndogo haina hata mashabiki million 4 Africa
Nani alimfosi Refa kwenda kuangalia ile faulo ya Lomalisa? Yule alikuwa anajia afanyalo. Angalia alikuwa anajitahidi kuwatafutia Mamelodi faulo za karibu na lango la Yanga. Alikuwa anatengeneza Mazingira ya jamaa kufunga pitia Faulo.Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
MnaBora ya ww unajua kuna uwepo wao..
Wao hawakujui na wala hawana IDEA ya uwepo wako duniani.. usiwapende uwapende.. tyr MSHATOKA MBWA NYINYI.
Wamchukue Rupia ElvisKwa Aina ya timu tuliyonayo kuwakosa key players pia ni tatizo.
Na tukubali ukweli Pengo la Mayele bado halijazibwa.
Mayele mechi kubwa kama hizi alikuwa anaziamuwa.
Mzinze si mtu wa kuweka natumaini kwake, ni walewale kina Kibu Denis Wana bidii lakini hawana vipaji.
Na mimi naweza kukuweka Kinyumba.. kwa hayo mashauzi yako unayoyaleta hapa...Makolo mna makasiriko balaa🤣🤣🤣
Nakuonea huruma maana naweza kukuweka rumande kwa matusi hayo.
Mna
Shoga unawaza kukazwaWewe katafute basha kwenye thread nyingine.
Hapa tunajadili CAF tournament, waamuzi wote Wana beji za Caf na kuna VAR.
Kabisa wamevurugwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa ni wa kuwaonea huruma tyuuh
Wenye akili kule ni wawili tu na majina tulitajiwa.Huwa nasemaga umbumbumbu upo na mbumbumbu wapo ni km huyo sasa..kushindwa kuficha umbumbumbu wake
Nakubali hii TakwimuHuenda hukutumia muda kutafakari maelezo yangu ya awali, maana maelezo yapo wazi kabisa...