Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
Wachezaji wa Tanzania wajifunze wanapokuwa kimataifa.

Hilo ndilo kosa walilolifanya wachezaji wa Yanga. Wangegoma kuendelea na mchezo mpaka refa aende VAR, hapo dunia ingeona na refa asingekuwa na ujanja. Waarabu wasingekubali kirahisi rahisi.
 
Yaani wewe sio muumini wa ushindi wa mezani halafu ni mshabiki wa Yanga hivi unajielewa kweli?
Hao wakina Kagera,,Geita anavyozifunga kimizengwe mizengwe huwaga unakuwa wapi kukemea
 
Unatafuta basha, lini kwenye ligi Yanga imepewa ushindi wa mezani?
 
'Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...'

Huenda hukutumia muda kutafakari maelezo yangu ya awali, maana maelezo yapo wazi kabisa...

Pengine tugusie vitu hivi kama uliitazama mechi ya kwanza na ya pili kiufundi (weka upenzi wa Yanga pembeni)...

1. Timu iliyopata nafasi za wazi nyingi za ku-score ilikuwa ni Yanga, wastani wa nafasi za wazi kama 3 au 4 hivi, wangezitumia vyema wangepata goli 1 hadi 2...(ukosefu wa strikers makini)

2. Yanga katika mechi zote mbili, waliweza kuwadhibiti Sundowns kufika langoni mwao hivyo kupunguza hatari ya kufungwa, ukihesabu nafasi za wazi za Sundowns kufunga ni chache kuliko za Yanga...

3. Yanga wangekuwa na mtaji wa hata goli moja kwenye mechi ya kwanza, Sundowns angekuwa kwenye pressure zaidi kwenye mechi ya pili, na uwezekano wa kufanya makosa zaidi ambayo yangeweza kupelekea kuadhibiwa na Yanga zaidi (Yanga wapo vizuri sana kwenye kutumia makosa kwa sababu wanashambulia kwa counter attack)

4. Kocha yeyote kwenye mechi za mtoano huwa anataka amalize mchezo kwenye first leg, halafu kwenye second leg anacheza kwa umakini kulinda ushindi huku akitumia nafasi zinazopatikana kunenepesha ushindi wa awali...

Conclusion: Kiufundi katika mechi zote mbili Yanga 60%, Sundowns 40%...
 
Nimekuelewa mkuu
 
Ndio sababu inachukiwa South Africa licha ya kuwakilisha nchi vizuri.

Na Kwa hii issue ya jana ukimwambia Mzulu asapoti Mamelodi atakutukana ”Msunu"
Sasa Dr hoao mashabiki wa Jana wametokea wapi mbna walikuwa na vibe
 
Sasa Al ahly ndo mlicheza nao jana pale South Africa?
Umesha vurugwaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisteri si unganisha taarifa hapo najua upo sawa kama Al Ahly wanapendelewa na huyo huyo refa attachable kuwapendelea hao Matajiri..
 
Kaangalie timu kubwa England kwenye kombe la Dunia Lampard alifunga Goli la hivo na likakataliwa sembuse Yanga ,timu ndogo haina hata mashabiki million 4 Africa
Nafikiri ulikuwa hujazaliwa au la ulikuwa unanyonya au bado unachunga ng'ombe kwenu hydom na kwa hizi comments zenu, Rage anazidi kuchukua points za mezani.

Kipindi linatokea hilo tukio.la Frank Lampard, hakukuwa na technology kama Sasa katika kuendesha na kusimamia Mpira wetu. Hakukuwa na VAR wala Goal line technology alafu we lofa mmoja unakuja kufanya comparison ya kipindi hiko na sasa. Please, ebu jaribuni kuficha tupu za akili zenu mbele za watu. Mnajiaibisha sana nyie watoto wa 2000's😀😃😄😁😆😅
 
Makolo mna makasiriko balaa🤣🤣🤣
Nakuonea huruma maana naweza kukuweka rumande kwa matusi hayo.
Bora ya ww unajua kuna uwepo wao..

Wao hawakujui na wala hawana IDEA ya uwepo wako duniani.. usiwapende uwapende.. tyr MSHATOKA MBWA NYINYI.
Mna
 
Kwa Aina ya timu tuliyonayo kuwakosa key players pia ni tatizo.

Na tukubali ukweli Pengo la Mayele bado halijazibwa.

Mayele mechi kubwa kama hizi alikuwa anaziamuwa.

Mzinze si mtu wa kuweka natumaini kwake, ni walewale kina Kibu Denis Wana bidii lakini hawana vipaji.
Wamchukue Rupia Elvis
 
Makolo mna makasiriko balaa🤣🤣🤣
Nakuonea huruma maana naweza kukuweka rumande kwa matusi hayo.

Mna
Na mimi naweza kukuweka Kinyumba.. kwa hayo mashauzi yako unayoyaleta hapa...
 
Huenda hukutumia muda kutafakari maelezo yangu ya awali, maana maelezo yapo wazi kabisa...

Pengine tugusie vitu hivi kama uliitazama mechi ya kwanza na ya pili kiufundi (weka upenzi wa Yanga pembeni)...

1. Timu iliyopata nafasi za wazi nyingi za ku-score ilikuwa ni Yanga, wastani wa nafasi za wazi kama 3 au 4 hivi, wangezitumia vyema wangepata goli 1 hadi 2...(ukosefu wa strikers makini)

2. Yanga katika mechi zote mbili, waliweza kuwadhibiti Sundowns kufika langoni mwao hivyo kupunguza hatari ya kufungwa, ukihesabu nafasi za wazi za Sundowns kufunga ni chache kuliko za Yanga...

3. Yanga wangekuwa na mtaji wa hata goli moja kwenye mechi ya kwanza, Sundowns angekuwa kwenye pressure zaidi kwenye mechi ya pili, na uwezekano wa kufanya makosa zaidi ambayo yangeweza kupelekea kuadhibiwa na Yanga zaidi (Yanga wapo vizuri sana kwenye kutumia makosa kwa sababu wanashambulia kwa counter attack)

4. Kocha yeyote kwenye mechi za mtoano huwa anataka amalize mchezo kwenye first leg, halafu kwenye second leg anacheza kwa umakini kulinda ushindi huku akitumia nafasi zinazopatikana kunenepesha ushindi wa awali...

Conclusion: Kiufundi katika mechi zote mbili Yanga 60%, Sundowns 40%...
Nakubali hii Takwimu
 
Back
Top Bottom