Huenda hukutumia muda kutafakari maelezo yangu ya awali, maana maelezo yapo wazi kabisa...
Pengine tugusie vitu hivi kama uliitazama mechi ya kwanza na ya pili kiufundi (weka upenzi wa Yanga pembeni)...
1. Timu iliyopata nafasi za wazi nyingi za ku-score ilikuwa ni Yanga, wastani wa nafasi za wazi kama 3 au 4 hivi, wangezitumia vyema wangepata goli 1 hadi 2...(ukosefu wa strikers makini)
2. Yanga katika mechi zote mbili, waliweza kuwadhibiti Sundowns kufika langoni mwao hivyo kupunguza hatari ya kufungwa, ukihesabu nafasi za wazi za Sundowns kufunga ni chache kuliko za Yanga...
3. Yanga wangekuwa na mtaji wa hata goli moja kwenye mechi ya kwanza, Sundowns angekuwa kwenye pressure zaidi kwenye mechi ya pili, na uwezekano wa kufanya makosa zaidi ambayo yangeweza kupelekea kuadhibiwa na Yanga zaidi (Yanga wapo vizuri sana kwenye kutumia makosa kwa sababu wanashambulia kwa counter attack)
4. Kocha yeyote kwenye mechi za mtoano huwa anataka amalize mchezo kwenye first leg, halafu kwenye second leg anacheza kwa umakini kulinda ushindi huku akitumia nafasi zinazopatikana kunenepesha ushindi wa awali...
Conclusion: Kiufundi katika mechi zote mbili Yanga 60%, Sundowns 40%...