GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

Hizo GPA ya 5 mnapataje Nyie vitoto vya sasa? Unajua maana ya GPA 5 Points.

Maskini Tanzania! Ni ya chuo gani hiyo GPA?
Unashangaa chief? Ila kuipata ni possible si ndio maana ikawekwa kuwa ipo!!

Sasa Upataji wa Hiyo GPA ndio ishu mahudhulio tu Class yanakupa marks

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Amekosa hata scholarship za Ukrain?
Atafute scholarship ili aajiriwe kusoma mpaka Phd. Huyo mtu ana shida fulani au kozi alizosoma ahitajiki sana na makampuni.
Chukulia una GPA ya 5 ya Computer engineering, Mechanical,Physics, Mathematics, Chemistry au Computer science.
Vyuo vya Dunia nzima vitakutafuta, Google,Facebook,Tesla watakutafuta.
 

By the way, usiwadhalilishe dada zetu; mtu hawezi kugawa Papuchi akapata GPA 4.8 huo ni uongo wa wazi wazi.
Inaonesha jinsi usivyokuwa serious!
 
hayo sio mawazo ya Kizamani; Usiongee porojo za mitaani. Fanya utafiti usio na longo longo
By the way mtu hawezi kugawa Papuchi akapata GPA 4.8 huo ni uongo wa wazi wazi
Inaonesha jinsi usivyokuwa serious!
Hivi wewe unadhani hizo nchi umewahi kuishi peke yako ?kwamba wengine hatujui maisha ya huko?
 
Safi sana. Unastahili medali
Ndio familia zetu nyingi zilivyo.
 
Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Course gani?
 
Hawa wako na disadvantage moka, wana pay too much attention kwa kitu kimoja wanasahau vitu vingine vya msingi kwenye maisha.

Maisha yanataka uwe Mult purpose, ujifunze vitu vingi kwa wakati mmoja. Sasa hao ni watu wanapenda kuangalia jambo moja kwa muda flani, hii ni hasara kwao.

Utafiti unaonyesha C students ama average students hufanikiwa sana kwenye maisha kuliko A students.
 
[emoji1787][emoji1787]wewe ni mimi kabisa wanakazi ya kuniita digrii kitaa na maskani .utaskia we digrii vipi na hivi ni sahivi ni saidia fundi wananiita fundi digrii ila najua nitatoboa tu .na watanitambua [emoji1787]
 
Kifupi mleta mada mumbeya tu hajaitaja hiyo GPA ni ya course gani na chuo gani

Nafikiriataluwa wale mafailure vyuoni wenye GPA ya chini akijifariji

Kwenye maisha penda ku perform vizuri popote unapokuwa iwe shuleni chuoni,kazini ,nyumbani nk kama uwezo unao

Kupata GPA ya chini sio sifa .Unatakiwa kila unapopita uache mark ya highest performance
 
Rais samia tunaambiwa matokeo yake ya kidato cha nne 'hayakuwa ya kuridhisha' lakin leo yeye ndio Boss wa wale wajuaji wa kila kitu
Ongeza nyama mkuu hapo kwenye hayakuwa ya kuridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…