Kupata A no kawaida ndugu,, hata Mimi nilipata pia. Lakini GPA ya 5? Do you know what it means?Mzee hii nchi kuna vichwa aisee labda kama hujakutana navyo tu, mimi sikuamini mpaka nilivyokutana na mwanafunzi ana A zote mwaka wa kwanza na wa pili!, (sasa hivi yupo mwaka wa tatu kozi ngumu tena sayansi!) asipoyumba mwaka huu wa mwisho lazima awe overall
Umepita hapo SUA? Mbona mnaongea vitu havipo? Ni kweli BVM Iko unclassified, lakini waliobaki GPA inatafutwa Kwa raw marks siyo Mambo ya kuangalia A ngapi, B ngapi and so on!Mkuu SUA grades hutumika programs zote. Na gpa pia hutumika programs zote isipokuwa BVM ambayo ni unclassified degree.
UDOM wakati inaanza watu walikuwa wanagonga mpaka 5.05.0 mi kwa hapa bongo sijawahi kuskia 4.8 nakubali ata udsm zinakuwepo karibu kila mwaka
Wanaposema sio ya kuridhisha wanamaanisha nini?Rais samia tunaambiwa matokeo yake ya kidato cha nne 'hayakuwa ya kuridhisha' lakin leo yeye ndio Boss wa wale wajuaji wa kila kitu
Wanaposema sio ya kuridhisha wanamaanisha nini?
Mwambie aingie CCM kule atakula shavu bila GPAKwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Hahahaaaa!Wanamaanisha hakuridhika nayo
Tumepigwaa😂Mtoa mada buana!mtaani na maofisin hatuishi kwa GPA,Mimi Nina GPA ya 2.1 lakini pengo langu hakuna wa kuliziba ofisini kwetu ingawa wapo wenye hizo GPA za 4s.
Chuo gani icho 😂😂 ndo hizi 5 za kuokotaGPA hazicount marks, bali grades, ie "A" inaanzia 70 and above.
Mbona ni vitu viwili tofauti mtu anasoma pure sciences cource sasa atajuaje kuandika barua ya kazi au CV mpaka ajifunze mkuuSasa mtu Kama Mbunge musukuma anatunukiwa Doctorate unataka tumpeleke wapi ?
Vyuo vyenyewe ndio hivi vya Global college na udom.
Na wanafunzi ndio Hawa tuko nao mtaani hawawezi hata kuandika barua za kazi.
Elimu yetu ni mbovu sana mtu anafaulu kwenye makaratasi ila kwenye maarifa hamna kitu. Chukua wanafunzi walau 10 waliomaliza degree waambie waandike CV na Barua ya kuomba kazi halafu urudi hapa.
SUA Mwenye , 75 au na 80 hawa ni watu wawili tofauti japokuwa inaonekana kam ni A lakini cheki GPA utastuka . Inaweza mwengine akawa na plus nyingi akaingizaA mbili za maana ww mwenye A nyingi lakin ndogo unapitwa😂 unaweza dhani wamempendelea ila sioMkuu SUA grades hutumika programs zote. Na gpa pia hutumika programs zote isipokuwa BVM ambayo ni unclassified degree.
Hauna connection unipe mkuuGPA kubwa darasani ni ujinga tuu, bali connection ya kupata kazi ndio best GPA inayohitajika mtaani.
Nimestuka kwe kweli inamana huyo mtu alikiwa anapata atleast above 95% kwa modules zote mpaka anamaliza chuo.na ni koz gani hiyo ?Umepita hapo SUA? Mbona mnaongea vitu havipo? Ni kweli BVM Iko unclassified, lakini waliobaki GPA inatafutwa Kwa raw marks siyo Mambo ya kuangalia A ngapi, B ngapi and so on!
Uko na A za 80, Mimi Niko na A za 81 GPA lazima itofautiane! Ndiyo maana tunahoji GPA ya 5 mnazipataje huko kwenu?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?