GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

GPA hazicount marks, bali grades, ie "A" inaanzia 70 and above.
Kwenye hivyo vyuo vya hovyo tu. Niliwahi ona tangazo la kazi likisema wote wenye sifa wanaweza kuomba kazi hiyo isipokuwa wahitimu wa UDOM!

Nilitafakari sana

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Safi Sana, we Kama Mimi ila tofauti ni kwamba niliomaliza nao chuo na kutangulia kupata ajira hawakuwahi kunidharau Ila wale wa mtaani ndio walikuwa wanadharu Sana, lkn nilikuja kupata kazi nzuri Sana mpaka Sasa Wana heshima
 
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Wajiajiri.
 
Chuo gani?
 
Mkuu SUA grades hutumika programs zote. Na gpa pia hutumika programs zote isipokuwa BVM ambayo ni unclassified degree.
Sasa kama degree inakuwa unclassified, wataangalia merits zipi mtu akitaka kwenda elimu ya juu?
 
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Kwanini ameshindwa kujiajiri na akili yote hiyo? That means kamezaga vitini, kichwani hamna kitu.
 
Chuo gani icho [emoji23][emoji23] ndo hizi 5 za kuokota
Mkuu unaweza kuona ni marks chache, lakini kuzifikia hizo jasho likutoke. Halafu, inategemea na chuo unachosoma, ndio maana watu wanauliza hizo GPA za 5.0 au 4.8 zimepatikana kutoka chuo gani? Kupata 5.0 is not an issue, but which university? Unakumbuka miaka michache iliyopita, TCU walivifungia baadhi ya vyuo kuendesha programs, unafikiri tatizo lilikuwa nini?
 
Sasa kama degree inakuwa unclassified, wataangalia merits zipi mtu akitaka kwenda elimu ya juu?
Unaweza kum classify daktari aliyehitimu mafunzo? degree za udaktari wa binadamu na mifugo huwezi kuzi classify kwa sababu ukishafuzu kuwa daktari wewe ni dakatari tu..........kwenye elimu ya juu utafanya yale masomo uliyofaulu zaidi.
 
Safi Sana, we Kama Mimi ila tofauti ni kwamba niliomaliza nao chuo na kutangulia kupata ajira hawakuwahi kunidharau Ila wale wa mtaani ndio walikuwa wanadharu Sana, lkn nilikuja kupata kazi nzuri Sana mpaka Sasa Wana heshima
Wa mtaani ndio hua na makelele,ambao hawajaenda shule
 
Hizo GPA ya 5 mnapataje Nyie vitoto vya sasa? Unajua maana ya GPA 5 Points.

Maskini Tanzania! Ni ya chuo gani hiyo GPA?
Utakuta Performing arts na African history University of Kaole!
Engineering, Science Business au hata Education hawezi kuachwa kwenye vyuo vinavyoeleweka,
 
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Nani ambae hayuko serious Kati ya aliyepata hiyo gpa na wewe?
 
Leo nilikua namwambia kijana wangu kwamba....
Shule itampa maarifa, lakini kusoma hakumpi guarantee ya kufanikiwa.
Lakini nilimwambia kwamba.....
Akishaipata elimu, atakua namaarifa. Ili afanikiwe anapaswa kuwa mwenye bidii na nidhamu
Bila kusahau connection na kujifunza Kazi ya familia hususani kama ni biashara au fani fulani.
 
Viwango vibovu vya elimu
 
Leo nilikua namwambia kijana wangu kwamba....
Shule itampa maarifa, lakini kusoma hakumpi guarantee ya kufanikiwa.
Lakini nilimwambia kwamba.....
Akishaipata elimu, atakua namaarifa. Ili afanikiwe anapaswa kuwa mwenye bidii na nidhamu
Safi mkuu umempa facts sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…