kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
So ni bora kutengeneza connection na watu wasio walalahoi?Bahati na network ni vitu muhimu sana pia.
Kama connections zako ni za walalahoi ni vigumu sana kutoboa kwenye maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So ni bora kutengeneza connection na watu wasio walalahoi?Bahati na network ni vitu muhimu sana pia.
Kama connections zako ni za walalahoi ni vigumu sana kutoboa kwenye maisha.
Kabisa.!Safi sana. Unastahili medali
Ndio familia zetu nyingi zilivyo.
Wewe ulipata GPA ya ngapi, mwaka gani, kwa kozi ipi, na kwa chuo kipi?!Kifupi mleta mada mumbeya tu hajaitaja hiyo GPA ni ya course gani na chuo gani
Nafikiriataluwa wale mafailure vyuoni wenye GPA ya chini akijifariji
Kwenye maisha penda ku perform vizuri popote unapokuwa iwe shuleni chuoni,kazini ,nyumbani nk kama uwezo unao
Kupata GPA ya chini sio sifa .Unatakiwa kila unapopita uache mark ya highest performance
NouMbeeSer!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii id nisipoiona bado sijafurahi aiseeElimu imechezewa sana
Anasoma kozi ipi na chuo gani?Mzee hii nchi kuna vichwa aisee labda kama hujakutana navyo tu, mimi sikuamini mpaka nilivyokutana na mwanafunzi ana A zote mwaka wa kwanza na wa pili!, (sasa hivi yupo mwaka wa tatu kozi ngumu tena sayansi!) asipoyumba mwaka huu wa mwisho lazima awe overall
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, hahahaha kama naziona karai zilivyopamba cheti chako hahahaha
Ilikua kidogo ulingane na JK [emoji12]
Aisee action uliyoichukua imeni inspire sana. Yaani watu wana nafasi za kukusaidia, na huku wanakuona unavyosota.[emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali kipindi na mimi nimemaliza chuo nahustle hakuna aliekua na time na mimi,wote wenye uwezo wananicheki tu waone nitaishia wapi,wengine wananisikitikia eti kasoma lakini hana kazi,anadhurura mtaani,elimu haijamsaidia
Nimekuja kulamba shavu kwa juhudi zangu,mambo safi sasa naanza ona simu simu,mara naitwa kijana wetu,mara kaka.
Walikua na vijigari vyao,wamejenga vijumba wanajidai dai,nimewalipa mara mbili.
Binadamu ni wanafiki,nimechinjia wote baharini,wanabaki wanasema tu.ooh eti ninadharau [emoji23]
Ulikua huna time na mimi,na mimi sina time na wewe
Sitakagi ujinga
Huo mfano sijaupenda.....Rais samia tunaambiwa matokeo yake ya kidato cha nne 'hayakuwa ya kuridhisha' lakin leo yeye ndio Boss wa wale wajuaji wa kila kitu
GPA sio kipimo halali cha kupima skills au uwezo wa muhitimu wa chuo, siku hizi wanakariri vitini hvyo skills ya kufanya mambo makubwa hawana... vyeti vimebaki serikalini, huku mashirika binafsi skills katika fani flani ndio kila kitu.Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Unadhani chuo chetu pale Msamvu wana nongwa?Nafahamu!
But GPA ya 5! Yaani kwamba tangu anaanza mwaka wa Kwanza Hadi anamaliza chuo mwaka wa tatu au wa nne, alikuwa akipata [emoji817]% Kwa masomo yake yote?
Au ni wale ukipata "A" iwe ya 80 au 90 basi hiyo ni GPA ya Tano?
I wonder!
👇Wao mbona hawakulegeza?! Jino kwa jino tu!
Una roho mbaya mno. Samehe!
Hapana Economics and statistics na pure economics isiyo na statisticsHao wote walisoma kozi gani? Law? Nina maana kubwa, nijibu nakusihi.
Yaani hata kuajiriwa kama tutorial assistants kwenye vyuo walivyotoka imeshindikana!?!Hapana Economics and statistics na pure economics isiyo na statistics
Maumivu yalikua makali, usipime 😆😃😀Aisee action uliyoichukua imeni inspire sana. Yaani watu wana nafasi za kukusaidia, na huku wanakuona unavyosota.
Mbaya zaidi wanakusanifu na kukukejeli tu wakikuita majina ya dhihaka. Inauma mno, nayajua maumivu yake, usiombe!
Sikushauri uwasamehe, hata hicho unachowafanyia sasa ni chema tu. Ila usilipize kwa watu wengine wasiohusika katika kukudharau na kukufungia vioo ulipokuwa unasota!
CoNASAnasoma kozi ipi na chuo gani?
Kweli mkuu watu wana GPA ya 2.2 na wanakula mema ya nchi.Bila connection GPA itakuwa kama Gazeti kwenye geto la masera
GPA ya 5 kutoka chuo gani? Isije kuwa kama wale wa St. Joseph walikuja na GPA za 4.5-5 kufika SUA hata 3.5 ikawa mbinde.Kwa mtazamo wangu tumechelewa kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Kufa uone. Pengo lako huwezi kuona km hakuna w kuliziba kisa upo, toka uje uone litakavozibika.Mtoa mada buana!mtaani na maofisin hatuishi kwa GPA,Mimi Nina GPA ya 2.1 lakini pengo langu hakuna wa kuliziba ofisini kwetu ingawa wapo wenye hizo GPA za 4s.