Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

Ukraine wakristo wanamalizana kwa kusema bwana Yesu asifiwe ama tumsifu yesu kristo?

Waislamu wanamalizana kwa kusema allahu wakbaru, kwamba wanafanya hayo kwa amri ya Allah. Umewahi kusikia wakristo wakiuana kwa amri ya kristo?
Angalia akili zako ndogo😅😅😅....Kusema hayo maneno mbona yapo tu ....Jifunze hiyo ni lugha hate video za ngono wanataja jesus ,God wala hakuna muislamu anahusisha na dini.

Zaidi ni nyie wafuga chuki kwa kivuli cha upendo maana hata kusali mnatengana.
 
Ukirsto ni Dini ya Upendo. Haina chuko Wala malipizo.
 
Dini ya uislamu imastahili kufutwa ndio dunia itakuwa sehemu salama.
 
Ajue wapi kiingereza huyo boya labda umwandikie kiarabu au kiswahili
Kujua kingereza ni ufahari na usomi ? Huko zambia wanapoongea kingereza kama lugha ya Taifa utasemaje ?
Kwa nini unaabudu kingereza ?
Kama wewe hujui kiarabu huoni kama ni mjinga wa hio lugha.
Kwako kingereza ndio kitu cha maana ? Kuna nchi wanaongea kifaransa vipi nao wakikucheka.
Kwa nini mnaendelea kuutukuza utumwa ? Kingereza ni lugha ya kitumwa, watumwa wote walikatazwa kuongea lugha zao za asili.
Acha kutukuza utumwa, ni kitu kibaya sana.
Hata anaetukuza kiarabu na kuacha lugha yake huyo ni mtumwa. Kingereza chenyewe mnachoongea ni broken na chenye lafudhi ya lugha za kienyeji .
Kujua kingereza kunakuongezea hela ? Yaani ukiongea siku nzima kingereza unapata hela ?
Achaneni na mambo ya kikoloni mnatia aibu. Mtu mzima unatukuza lugha ya mwanaume mwenzio.
Tabia za kutukuza wazungu zilikuwa kwa wazee wetu sasa naona mnarithi hio tabia wakati ukoloni uliisha isha.
Inakuwaje kijana ambae hujawakuta wakoloni utukuze ukoloni ?
Mie niliesoma kichina, kingereza, kiarabu , kiswahili na lugha za asili kadhaa nikuchikulieje wewe unaejua kingereza tu.
Je nikudharau kwa sababu najua lugha nyingi za mkoloni ?
Kuza lugha yako ya KISWAHILI, wenzio wanatumia kkngereza kama pato ka taifa lao halafu wewe unafurahia.
 
Unajua matendo ya kikatili yanayotokea Duniani kila siku ,Zama zilizopita na ushenzi unaoendelea sehemu nyingi Duniani kwa Siri na dhahiri ? unajua nchi ambzo zina matukio ya uhalifu mkubwa Duniani ?

Haujui Wakristo Rwanda ,South Sudan ,Angola wameuana Sana maelfu kwa ukatili mkubwa vipi roho mtakatifu alikuwa wapi mpaka kutokea hayo ?

Ponography industry ,movies ,miziki zinazoharibu watoto na jamii hayo yanashikiliwa na watu gani ? utengenezaji wa silaha na uuzaji wa kimagendo ni nani anayeeendesha ?

Una uhakika kuwa Leo Waislamu wote na Uislamu ukifutika dunia itakuwa salama na Amani hakuna mauaji ,uhalifu wala fujo ?

Kuhusu kukemea yamekemewa sana na Masheikh na katika vitabu tatizo haufuatilii kama unabisha nikuletee audio na vitabu.
 
We uliona wapi kitabu cha dini kinatumika kwenye uganga
 
Nadhani umefafanua zaidi kuongezea ukali. Wakati mimi nlikuwa napunguza. Wewe utakuwa kafir. Unatupiga vita sisi wa dini ya haki
 
Ukirsto ni Dini ya Upendo. Haina chuko Wala malipizo.
Ingekuwa dini ya upendo mngekuwa mnasali kanisa moja wote ,msingewatenga wanzifu hata kutowazika wenzenu😅😅.

Ndio dini yenye chuki duniani kote , Russia asingempiga ukraine ndugu yake.....
 
Waislamu wote duniani ni magaidi na wapumbavu.
Hahahaha Mpare una matuthi hivyo?
Unaonaje mimi nikakuambia MAMA YAKO ALOKUZAA NI MPUMBAVU KAKUZAA MTOTO MPUMBAVU AMBAYE NI WEWE?
What is the feeling?
Sasa unaposema Waislam wote duniani........kuwa na akili basi.
 
Ingekuwa dini ya upendo mngekuwa mnasali kanisa moja wote ,msingewatenga wanzifu hata kutowazika wenzenu😅😅.

Ndio dini yenye chuki duniani kote , Russia asingempiga ukraine ndugu yake.....View attachment 2857640
Unajua nn maana neno Wakristo? Au unaongea tu.
Hao Russia siyo Wakristo acha kupayuka. Alfu msikariri si Kila ambaye siyo Muislamu au mfuasi wa mud basi ni Mkiristo siyo kweli.
 
Wewe unajua wakina nan?
Boko Haram wanafadhiriwa na Dini ya Kislamu na hata wanzilishi na wasimamizi wake ni Waislamu, kwa maana hiyo Ugaidi unaofanywa na Boko Haram unatoka kwa Waislamu wanaotetea Dini yao.
Angalia picha chini hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20231230-202521.jpg
    53.6 KB · Views: 2
Kuna clip huko Sweden waislam ambao ni wahamiaji ( wakimbizi ) wameingia supermarket ile section ambayo kuna Pork wakaanza kukolea nyama huku wakichukua video …ISLAMIC religion teaches hatred.
Huko wacha yawakute. Wanaacha kutuchukua ma black wanawapa hifadh za ukimbizi hao wadwanzi kutoka mido east.
 
🙏🙏Eee Mwenyezi Mungu kwanini unayaruhusu haya yatokeee😢wamama na watoto wasio na hatia kunyanyasika kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…