Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahhaa Mimi namshukuru MUNGU nimeshasaidia kuepusha ajali karibia nne au tano na ya mwisho ilikua mwezi uliopita, tumetoka Kahama na Coster, tumefika maeneo ya Bwawani kwa mbele kumbe dereva amesinzia aisee, hio ni saa kumi usiku. Nikamstua akarudi kwenye line. Akapata yale maeneji drinki tukasimama Chalinze kidogoHii ni kweli kabisa..... Kuna siku nilikua naendesha gari usiku wa manane kumbe nimesinzia nikajikuta niko upande wa pili wa barabara niliogopa sn nikapaki gari nikalala (HIKI NI KISA CHANGU CHA KWELI KABISA=
Ni kweli kuna jamaa Mwanza ijumaa iliopita amekula mzinga mkubwa sana chanzo inasemekana alisinzia na alihisi akafungua vioo nakuegemeza mkono kuelekea njee, ule mkono ulichofanywa acha tu.Seems ni uchovu na mwendo mkali. Yaani kama umechoka aiseee park lala kwa muda then amsha mashine kama kawaida. Usingizi una mambo ya kipuuzi sana yaani unadhani uko ON kumbe brain ilishafunga mawasiliano muda mrefu sana. Hadi kuichakaza hio gari hivyo hio speed haikua ya dunia hii
za UK hizo.Hivi Ford Ranger nazo ni za wa Japan, R. I. P Full Doze
Ni Mjasiriamali maafuru Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikua anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro.
Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM
Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
View attachment 1851508
View attachment 1851509
Quality ya gari zinauzwa uku Africa zikiwa mpya huwa quality yake iko chini sana kulinganisha na na magari yanayouzwa kwenye nchi za wenzetu wanaofatilia quality za gari. Safety, security, body strength etc. Ni bora ununuwe mtumba wa gari toka Europe or America utapata quality nzuri.Ni Mjasiriamali maafuru Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikua anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro.
Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM
Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
View attachment 1851508
View attachment 1851509
Madhara ya gari,angalia ilivyoisha.Tunajuaje kua yy ndo alikua speed?
hapana mkuu huyi ni Ford Ranger si gari ya JapanHaya magari ya Japan likipata dhoruba inakua kama a smashed coke cola can. Poleni wafiwa.
Sio gari ya Japan, however hiyo gari Ina speed sana na comfortability ya kutosha , unaweza kujikuta upo 220 bila kutarajia endapo unaenda safari ndefu maana linateleza tu na husikii engine ikilalamika.Haya magari ya Japan likipata dhoruba inakua kama a smashed coke cola can. Poleni wafiwa.
Hii gari Siyo Ford Ranger Kweli?Haya magari ya Japan likipata dhoruba inakua kama a smashed coke cola can. Poleni wafiwa.
Ford ranger ni Ford America, hizo Ford ranger ni franchise ya Ford uko South Africa. Quality yake siyo sawa na Ford ranger ya USAHivi Ford Ranger nazo ni za wa Japan, R. I. P Full Doze
Umenifanya nicheke msibani... mbona unapokea salamu za pole? Ni ndugu yake marehemu?
What if kagongwa na na gari nyingine ambayo ilikuwa kwenye speed kubwa?Hii speed ilikuwa zaidi ya 100
Boss mie Nina watu sasa kama nane zimewachomoa wawili walikuwa TBL kila mmoja na ajali yake Tena mmoja alikuwaga Mbeya huko. Tumepiga nae mtungi Iringa alikuwa na event makambako akaamua kutukimbia usiku ili aamkie kwenye kazi. Ikawa history pale TanangoziSina kumbukumbu sn kuhusu hizi machine zkuapata ajali.... Nilidhani ni gari stable sn hata kwenye kona ukiwa mwendo kasi
Sure kaka..... I hope hapo kwenye Loki umemaanisha Loti. Hao ni wajasiriamali maarufu pale
Ford Ranger ya Japan? Mimi ndio naisikia kwako. Ford ni Kampuni ya US.Haya magari ya Japan likipata dhoruba inakua kama a smashed coke cola can. Poleni wafiwa.
Kuna siku niko pale Ubungo Kijazi kipindi inajengwa. Wakati navuka barabara nikashuhudia jamaa kasingizia akiwa kashika usukani wenzake wote wanaenda yeye kasimama. Nilisimama nikamwambia paki gari ulale akasema anakaribia kufikaHii ni kweli kabisa..... Kuna siku nilikua naendesha gari usiku wa manane kumbe nimesinzia nikajikuta niko upande wa pili wa barabara niliogopa sn nikapaki gari nikalala (HIKI NI KISA CHANGU CHA KWELI KABISA=
... poleni sana Bro.Ni mtu wangu wa karibu na ambaye namfahamu sn ikiwemo husle zake zote..
Alikua na rafiki yake wa karibu anaitwa Loki sio LotiSure kaka..... I hope hapo kwenye Loki umemaanisha Loti. Hao ni wajasiriamali maarufu pale