TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

U Umenena vema sn mkuu
 
Ana undugu wowote na marehemu mzee Enos Mwangoka wa Majengo Mbeya (mmoja wa anzilishi wa TANU kwa Mbeya)?
Sina hakika na hili mkuu ila MWANGOKA ni ukoo mkubwa sn.....
 
Ford hio madame boss ingekua mjapenga hapo ingebaki chassis tu maana hio speed inaonekana hakua ya kipimbi
Kukariri ni Jambo la hatari sana.

Ikawaje ANCP ikazirate Ford Ranger na Mjapan(Hilux) zote kwa 5 stars kwny safety ratings?
 
Sasa huyu ndo nani
Ndio Isaack mdau mmoja kamzungumzia hapo, jamaa alikua mafinga anafanya biashara ya mbao mafinga akaacha akawa anasambaza vyakula mashuleni ni mzaliwa wa arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…