GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

NInaona kama hii yaweza kuwa destruction kwa vijana, wakawa na uncontrollable morale wakaishia kupotezea vibaya.. nambie!.
wachezaji wetu hawajawahi kuweka pesa mbele, kesho lazima watapanick kutokana na kiu ya kwenda nusu na sio pesa.

App gani naweza kuitumia kupata majibu nina kazi hiyo hata Al haijaleta majibu.
 
Mara wajukuu wa RAGE watalalama "Uto anapendelewa hizo ni pesa za Serikali zinatolewa kificho kwa mgongo wa Jiiesiemu"
 
Mzize ana cheka [emoji81][emoji81]sijui ana chekea nini ..ila kati mzize na andazi nachukua andazi
Mzize na Musonda wana bahati sana, mara 100 hata Musonda 2023 alionesha mchango wake baadhi ya magoli hadi Yanga kutinga CAFCCL ila Mzize hana tofauti na Giroud Arsenal SC former player...[emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa yanga hii hata mtu ambae hana senti 1 anaweza kuahidi kila goli atatoa million 500 maana ni uhakika hawawezi kupata goli lolote, yani timu ilikua nyumbani ikapigiwa possession 76 kwa 24 je huko ugenini?
Kolokhamsa linadhani mtoano ni ball possession ndiyo dili wala si magoli kwenda semi finals [emoji4]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…