ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Uzee sio miaka! Kikwete ana uzee gani bado analipa kabisaSi kila siku mnatunanga humu majukwaani kwamba na 45 zetu tayar sisi ni wazee???
Ukiacha mwili uwe na likitambi lazima uwahi kuzeeka
Sasa wewe na kitambi chako hiko soon utazeeka😄