GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

Status
Not open for further replies.
Mimi ni simba Ila ni fresh tu hata kama tukivaa jezi yenye nembo ya GSM
Ishu kubwa sio kuvaa nembo, hiyo hata mimi naona ni kawaida tu, ikitokea GSM akaidhamini Simba wala isikatae kuvaa nembo. Ishu kubwa ni mgongano wa maslahi, yaani kudhamini timu chache halafu hapo hapo kudhamini ligi yenye inashindanisha timu hizo ulizozidhamini na nyingine usizozidhamini
 
Elezea namna mgongano wa kimaslahi ulivyo ktk udhamini huu
 
Elezea namna mgongano wa kimaslahi ulivyo ktk udhamini huu
Sportpesa walikuwa wanatoa zawadi kwa timu walizizidhamini (Simba, Yanga, kipindi fulani Namungo na Singida United), iwapo zingechukua ubingwa, au kushika nafasi ya pili, na bonus nyingine. Kama Sportpesa wangekuwa wanaidhamini ligi yote pia, kwa lugha nyingine ni sawa na kusema inawapa hela hao wanne wafanye vizuri katika ligi wanayodhamini timu zote
 
Hapo umehama kwenye point yako ya conflict of interest Na umehamia Kwenye League fairness

Zungumzia kwanza hiyo conflict of interest ilivyo ktk Huu Udhamini mkuu
 
Tulia wewe, mwambie tajiri wenu Mo naye aweke mzigo Kama Ana ubavu huo.
 
Tulia wewe, mwambie tajiri wenu Mo naye aweke mzigo Kama Ana ubavu huo.
Yule ni tajiri mwenye akili sio huyo tajiri mkwepa kodi, tajiri atakua hana elimu ndio maana anafanya madudu
 
Huu ndii udumavu wa akili na umaskini umekujaa tangu ushinde challenge hapa jf unadhani kila kitu upo sawa kumbe mashudu matupu.

Na haya unayosema yasipotokea?
 
Sisi timu yetu Mwamedi kamuonga manzi wake!
 
Taratibu mkuu,em thibitisha maadai yako!!
 
Huu ndii udumavu wa akili na umaskini umekujaa tangu ushinde challenge hapa jf unadhani kila kitu upo sawa kumbe mashudu matupu.

Na haya unayosema yasipotokea?
Acha makasiriko mm.sijasema uwe na stress zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha makasiriko mm.sijasema uwe na stress zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umefungua uzi kuponda matajiri wenye pesa ni nini kama sio umaskini?

Ungekuwa na hela usingeniomba kura pm,
Sasa nani ana stress Kati yangu na wewe ulielilia kura pm kwangu nikakupa kwa kukuonea huruma?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Tajiri hakosei..?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…