GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Simba SC ni Klabu Kubwa na Bora Afrika.

Hizo Klabu zote role model ni Simba SC.

NBC wamefuata taratibu nimeshakujibu ila kwa kuwa wewe ni Kinega ndo hivyo tena.. Period
 
Sio kwamba FCC wamesema cheche, maana swala lao lilifika mpaka FCC
 
Simba SC ni Klabu Kubwa na Bora Afrika.

Hizo Klabu zote role model ni Simba SC.

NBC wamefuata taratibu nimeshakujibu ila kwa kuwa wewe ni Kinega ndo hivyo tenda.. Period
Unanikoti mara mbili mbili huna uhakika na unachojibu.
Umejibu vichambo tu kama malaya wa buza..!

Kaa hapa uongee na matahira menzio am done..!
 
Vyuma vimeanza kuumana
 
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜πŸ˜ Nacheka Kiingereza
Gharibu Huyu Mdhamini Wa Ujanjaujanja Amenyoosha Mikono
Hivi Anafikiri Logo Zinavaliwa Kienyeji Tu

Aache Ubabaishaji Afuate Taratibu Zote
 
Kudadadakiiii kwa hiyo simba baba lao sio?
Kaeni kwa kutilia GSM na mo wemetengeneza combinenga badala ya udhamini . Ndio mtajua maisha ni kutafuta na sii kitafutanaπŸ€”.
 
Takwa moja wapo lilikua kuuziwa kombe la NBC, lakini baada ya kuanza kushona sare, huku mnyama akija kwa kasi wakaona isiwe tabu ngoja waombe hela zao
Haa Mdhamini Feki Kakimbia
 
Hujajibu maswali yangu

Unazidi kuonyesha umaskini na chuki isiyo na sababu,
Haya wewe pia ulichangia nini hizo Team kupanda daraja mpka ligi kuu?

Nilishakujibu kuwa Azam TV, NBC, na waliotangulia kabla yao walifuata taratibu za kimkataba.

Nimekuuliza kuwa hizo Klabu ndogo kabla yao GSM walikuwa wakijiendeshaje? Badala ya kujibu wewe ulivyo mpumbavu unaniuliza Mimi tena nilichangia nini team kupanda Ligi Kuu.

Kweli Nyani kwake porini yaani..CC' Kocha Luc.
 
walikosea wao siku ya kusaini mkataba wakaambatana na Misukule ikaleta tafsiri kuwa ule mkataba ulikuwa una msukumo wa Yanga kama Club ndani yake...ila kilichowaondoa ni zaidi ya hapo..baada ya ile janja janja ya kutaka"kuikamata/kuihodhi lingi na TFF ili timu yao ichukue ubingwa kukwama....ahaaa poleni saana "wapigaji" wa GSM
 
Mikia fc mnafikiri kufanya hivyo ndio mtachukua ubingwa🀸
 
Walikuwa wanajiendesha ama Wana endeshwa unasahau kuna timu zilikuwa zinapewa nauli na timu nyingine na wanakuja pigwa goli 8

Unasahau kuna timu zilikuwa hazifiki kabisa uwanjani
 
Aliyewahi kuhisi uwepo wa jiesiemu kwenye Ligi lete anyoshe kidole, vinginevyo jiesiem waache kutafuta sifa za kijinga kwani wanawezaje kujitoa kwenye kitu ambacho hawakuwepo? Hii kampuni chongo ya kutengeneza folonya za magodoro imevurugwa zaidi ya Yanga yenyewe. Eti TFF haijasimamia kuhakikisha refa wanaikandamiza Simba nq badala yake wameona akipeta dhidi ya Tanzania Prisons na Mbeya kwanza. Huku Yanga ikisare na Mbeya City huku kukiwa na uwezo wa kutimiza makubaliano yao. Engineer akiwabwatukia tff na kuwaambia kwa hasira NAJITOAAAA. Video hapa inakataa ku upload ila nitawapa
 
Kwahiyo kafanya biashara miezi michache ameona haina Faida kaamua kufunga (Hajapata hasara)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…