Tulia dawa ikuingie vizuri mkuuSi kweli kama ameiumbua EPL, isipokuwa timu zote zinazoshindana na City haziko consistent enough. Ni kama vile mwaka jana wakati Chelsea walivyoshinda ubingwa, kila timu ilionekana vibonde hata City yenyewe ilikuwa haieleweki kipindi hicho.
Utaongea ivyo ivyo subiri jumamosa tumtandike spurspoint 11 bado mechi zaidi ya 20 epl ni utani kwa man city kuchukua,hii sio la liga wala ligi ya ujeruman
Umepigwa kwako kwake utamuweza?Huyo Guadiora dawa yake ni Westham, West Brom, na Manchester United... Tutampigia pale pale Kwake ngoja January ligi ichanganye
Manutd ina consistency nzuri tu, let us give credits where it's due.Si kweli kama ameiumbua EPL, isipokuwa timu zote zinazoshindana na City haziko consistent enough. Ni kama vile mwaka jana wakati Chelsea walivyoshinda ubingwa, kila timu ilionekana vibonde hata City yenyewe ilikuwa haieleweki kipindi hicho.
Spurs ni mteja sana kwa Mancity, hata white hart lane huwa anakula tano, nne!Utaongea ivyo ivyo subiri jumamosa tumtandike spurs
we umekuwa man cty toka lini?Utaongea ivyo ivyo subiri jumamosa tumtandike spurs
Toka siku zotewe umekuwa man cty toka lini?
nimecheka sanaaaaaa"without doubt"
Hii lunga haijawahi kumuacha mtu salama.
basi umeanza kuangalia mpira juziToka siku zote
Nimeanza jumamosi kwenye Manchester Derby na team yangu man city ikashinda vp ww uliyeanza zamani na team yako ikafungwa umepata faida gani?basi umeanza kuangalia mpira juzi
hongera kwa kuchagua timu! maana umefanya uumaazi mzuri kila kiyu kina mwanzoNimeanza jumamosi kwenye Manchester Derby na team yangu man city ikashinda vp ww uliyeanza zamani na team yako ikafungwa umepata faida gani?
Kiyu ni pidgin or Creole?hongera kwa kuchagua timu! maana umefanya uumaazi mzuri kila kiyu kina mwanzo
Mimi sikuwa mshabiki wa mpira kabisa, nilikuwa mshabiki wa wrestleling ( spelling ) ila sikumoja nikachukuliwa na wadogo zangu watatu mmoja alikuwa arsenal mmoja man U mmoja Chelsea wakanipeleka kwenye mpira, na walikuwa wanaonyesha screen nyingi tu sikuhiyo, nikawa naangalia mpira ambao arsenal alikuwa anacheza ila upande wa pili kila dakika nasikia Gooooo Gooooo nikasema hawa ni kina nani upande huu ila nilikuwa naijua man u, nikaambia ni man u na man city, nikasikia tena Gooooo, basi toka siku hiyo nikaamia ule upande uliomfunga man u ilikuwa man city ( 6-1 ). Nikaamia huko rasmi ili na mimi nipige pige kelele maana walikuwa wakirudi huwa walikuwa wanapiga kelele tu hapo nyumbani.Nimeanza jumamosi kwenye Manchester Derby na team yangu man city ikashinda vp ww uliyeanza zamani na team yako ikafungwa umepata faida gani?