Guardiola ameiumbua E.P.L

Guardiola ameiumbua E.P.L

Si kweli kama ameiumbua EPL, isipokuwa timu zote zinazoshindana na City haziko consistent enough. Ni kama vile mwaka jana wakati Chelsea walivyoshinda ubingwa, kila timu ilionekana vibonde hata City yenyewe ilikuwa haieleweki kipindi hicho.
Tulia dawa ikuingie vizuri mkuu
 
Ck hizi MTU akiniambia EPL ni bora kuliko La liga huwa naishia kucheka tu. Na hata Pep Guardiola alisevyosemwa kwamba haiwez ligi ya uingereza bado niliendelea kucheka tu. Sion haja yoyote ya kubishana na MTU wakati takwimu za EPL na la liga zote zipo.
 
Si kweli kama ameiumbua EPL, isipokuwa timu zote zinazoshindana na City haziko consistent enough. Ni kama vile mwaka jana wakati Chelsea walivyoshinda ubingwa, kila timu ilionekana vibonde hata City yenyewe ilikuwa haieleweki kipindi hicho.
Manutd ina consistency nzuri tu, let us give credits where it's due.
 
Nimeanza jumamosi kwenye Manchester Derby na team yangu man city ikashinda vp ww uliyeanza zamani na team yako ikafungwa umepata faida gani?
hongera kwa kuchagua timu! maana umefanya uumaazi mzuri kila kiyu kina mwanzo
 
"without doubt"
Hii lunga haijawahi kumuacha mtu salama.
Mkuu ngoja nikusaidie...
3bacfb839817da911036dfa17eb2766f.jpg
 
Nimeanza jumamosi kwenye Manchester Derby na team yangu man city ikashinda vp ww uliyeanza zamani na team yako ikafungwa umepata faida gani?
Mimi sikuwa mshabiki wa mpira kabisa, nilikuwa mshabiki wa wrestleling ( spelling ) ila sikumoja nikachukuliwa na wadogo zangu watatu mmoja alikuwa arsenal mmoja man U mmoja Chelsea wakanipeleka kwenye mpira, na walikuwa wanaonyesha screen nyingi tu sikuhiyo, nikawa naangalia mpira ambao arsenal alikuwa anacheza ila upande wa pili kila dakika nasikia Gooooo Gooooo nikasema hawa ni kina nani upande huu ila nilikuwa naijua man u, nikaambia ni man u na man city, nikasikia tena Gooooo, basi toka siku hiyo nikaamia ule upande uliomfunga man u ilikuwa man city ( 6-1 ). Nikaamia huko rasmi ili na mimi nipige pige kelele maana walikuwa wakirudi huwa walikuwa wanapiga kelele tu hapo nyumbani.

kwahiyo hata mimi ni wa juzijuzi tu.
 
Back
Top Bottom