Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.

Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi mashuhuri, mke wa kaka yake, binamu na dada wa Rais wa Equatorial Guinea, ambao walikuwa na mahusiano ya kingono bila kutumia kinga.

Mwanasheria Mkuu amesema mfanyabiashara huyo atafanyiwa vipimo ili kubaini kama ana magonjwa ya zinaa.

=========

The serving Director General of the National Financial Investigation Agency (ANIF) of Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, has been caught in one of the country’s largest sex scandals.

Baltasar was caught on tape engaging in sexual intercourse with his brother’s wife, cousin, and a sister of the President of Equatorial Guinea.

He is currently embroiled in the largest scandal in Equatorial Guinea.

During an investigation by the country’s security authorities for alleged fraud, over 300 tapes of Baltasar with various women, including married women, were recovered, and they are currently circulating online.

These encounters took place in his office, hotels, and toilets, with all scenes being recorded with the participants’ consent.

He was initially arrested on corruption charges, but during the investigation, authorities discovered the tapes on his computer and leaked them to the public.

Popular social critic Martins Ortse, also known as VeryDarkMan, disclosed videos of this via his Instagram page.

Source: Ahora EG
Viongozi wa wafrika ndio maana hawaleti maendeleo wako bize kudinyana tu kwa kutumia fedha za umma kusafiri Nchi za ughaibuni na kulala Hotel za kifahari kafri wawezavyo.
 
mbaka sasa nmeona video za hao tu jamaa alitaka kuwa porn star
 
Attachments

  • GbjGL_TWEAE2tqy.jpeg
    GbjGL_TWEAE2tqy.jpeg
    51.7 KB · Views: 14
Nawaza huko kwenye familia za “wahusika” wanazungumza lugha gani?

Ama kweli shetani ataanguka na wengi 😂😂

Kwanini wameinvade privacy yake kiasi hiko? Was he looking forward kugombea urais? Wamemzima.

Why naye atunze skeletons za aina hii? Ni Fantasy yake au alitaka ku-blackmail?
 
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
Mimi sidhani rekodi nyingi zinazovuja mitandaoni ni za wahusika kujirekodi, bali ni za kurekodiwa kwa siri ama kwa masharti ya kikombozi.

Mfn kama ile ya Gwajiboy alivyokuwa akisakata gozi hadi kufunga goli la mkono wakati kipa katulia kwa kusinzia, wadhani alijirekodi na kuirusha video yenye madhaifu ya namna hiyo, jibu ni hapana.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.

Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi mashuhuri, mke wa kaka yake, binamu na dada wa Rais wa Equatorial Guinea, ambao walikuwa na mahusiano ya kingono bila kutumia kinga.

Mwanasheria Mkuu amesema mfanyabiashara huyo atafanyiwa vipimo ili kubaini kama ana magonjwa ya zinaa.

=========

The serving Director General of the National Financial Investigation Agency (ANIF) of Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, has been caught in one of the country’s largest sex scandals.

Baltasar was caught on tape engaging in sexual intercourse with his brother’s wife, cousin, and a sister of the President of Equatorial Guinea.

He is currently embroiled in the largest scandal in Equatorial Guinea.

During an investigation by the country’s security authorities for alleged fraud, over 300 tapes of Baltasar with various women, including married women, were recovered, and they are currently circulating online.

These encounters took place in his office, hotels, and toilets, with all scenes being recorded with the participants’ consent.

He was initially arrested on corruption charges, but during the investigation, authorities discovered the tapes on his computer and leaked them to the public.

Popular social critic Martins Ortse, also known as VeryDarkMan, disclosed videos of this via his Instagram page.

Source: Ahora EG
Mambo ya P didiy labda alikuwa anawapa mpunga mrefu
 
Mimi sidhani rekodi nyingi zinazovuja mitandaoni si za wahusika kujirekodi, bali ni za kurekodiwa kwa siri ama kwa masharti ya kikombozi.

Mfn kama ile ya Gwajiboy alivyokuwa akisakata gozi hadi kufunga goli la mkono wakati kipa katulia kwa kusinzia, wadhani alijirekodi na kuirusha video yanye madhaifu ya namna hiyo, jibu ni hapana.
Alikuwa amemwandama sana Makonda😅😅
 
Si ajabu hakutunza ila alikua anatafuatiliwa kama jinsi ambavyo ndgu yangu wa damu Poor Brain ambavyo anajirekodi akila mishangazi akidhani haonekani, kumbe mimi nimehack simu yake namuona vizuri kabisa.
Weee jamaaa wewe 😂😂😂😂😂😂
Tabia zako unanisingizia mimi..

Vishu mi nataka siku ivuje aiseee ntakucheka wewe maana unajua kufanya hvo ni deal mjini hapa sio
 
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
Wewe Ni Me au Ke
 
Nawaza huko kwenye familia za “wahusika” wanazungumza lugha gani?

Ama kweli shetani ataanguka na wengi 😂😂

Kwanini wameinvade privacy yake kiasi hiko? Was he looking forward kugombea urais? Wamemzima.

Why naye atunze skeletons za aina hii? Ni Fantasy yake au alitaka alitaka ku-blackmail?
Itakuwa kuna Mwanameke kamfuma kati yao. Akaamua kuvujisha kama mbwai iwe mbwai.

Si unajia akili za wanawake.

Jamaa ameonekana ana dharau anakula watu wa familia moja tena familia Bora?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom