Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha..........sikuwa na haja ya kudanganya Mzee mwenzangu, nadhani lengo lilikuwa zuri kuhakikisha hatuwapi Vijana connection.hii kamba mzee mwenzangu eti alikua anakagua chumba chote kwanza
Imagine upo zako shambani huko unapigiwa simu na Wajukuu zako wa Mjini kusema wameona connection yako ukimpelekea moto mtoto wa elfu 2 🙌