Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Jamaa anaitwa Baltasar Ebang Engonga na anatomea Equatorial Guinea CEO wa National Financial Investigation Agency (ANIF).

Siku ya jana na leo tumekuwa tukiziona video zake ambazo sio nzuri sana ziki-circulates kwenye social media.

Inasemekana kwamba jamaa amekuwa akirekodi vitendo ambavyo hufanya kwenye faragha na wake za watu na wasichana wadogo ambao hawajafika umri wa kufanya hayo.

Vyombo vya Habari huko Equatorial Guinea vimeripot kwamba zaidi ya contents 300 za mkanda wa video zimekutwa kwenye computer yake vikimuonyesha akifanya vitendo hivyo na wanawake tofauti tofauti, wenye asili tofauti tofauti.

Cha kushangaza zaidi, katika moja ya video hizo, anadaiwa kuwa na mke wa head of presidential security wa Equatorial Guinea, nae alikuwa sehemu ya wahanga wa matukio haya.

Lakini pia Cousin yake pamoja na mke wa kaka yake ni moja ya wahanga wa matukio ya huyu bwana.

Huyu jamaa anatokea kwenye familia ya watu maarufu, ambapo baba yake pia ni rais wa CEMAC—Baltasar Engonga Edjoo!

CEMAC ni moja ya economic monetary community kubwa sana Katika ukanda wa Afrika ya kati.

Katika video, mwenyewe amekuwa akishiriki na wanawake hao, na haijafahamika kama alitumia nguvu kuwafanya wakubaliane na vitendo hivyo.View attachment 3143415
share video mkuu ili tuweze kufanya analysis na kutoa comments zetu
 
Kibongo Bongo ni zaidi ya milioni 25🙌

Wakati huku Bongo ukitajiwa dau la milioni 1 la kumng'oa Irene Uwoya kwa Usiku mmoja watu tunarara mbere 😜
Huyo mzee ni tajiri sana. Na anapenda K.



Kuna blog nyingine inadaiwa kuna mdada kasema alipewa USD 40,000 ili aliwe chapchap ofisini.



Sasa USD 40,000 ukiigeuza kuwa TSh ni pesa ndefu sana. Sijajua kama kuna mdada wa kukataa USD 40,000 ya chapchap
 
Huyo mzee ni tajiri sana. Na anapenda K.

Kuna blog nyingine inadaiwa kuna mdada kasema alipewa USD 40,000 ili aliwe chapchap ofisini.


Sasa USD 40,000 ukiigeuza kuwa TSh ni pesa ndefu sana. Sijajua kama kuna mdada wa kukataa USD 40,000 ya chapchap
Kweli Kila mtu na hulka yake

Sisi tusiokunywa pombe, Mungu atusaidie 🏃🏃
 
Huwa mnatongoza ili mkataliwe ? Wote wakiwakataa mtamtomb*a nani? Humo kuna wanawake hawajaolewa nao kosa lao ni
lipi?

😂
Kwa nini ukubali kutongozwa na kupigwa miti wakati unajua tayari umeolewa?

Tena hao wanawake wengine si kwamba ni maskini sana au wanashida ya hela, Hapana wameridhia kabisa.

Maana mwenye maamuzi ya mwisho ya kutoa mbususu ni mwanamke wala si mwanaume.



P
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom