Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Siku hizi ni kila kona unaona video za utupu za watu na most of them Zinasambaa bila ridhaa ya wahusika.
Na kibaya zaidi zinaacha alama itakayo kaa milele, yani watoto na wajukuu zako wataona sex tapes zako.
Kuweni makini.
Soma
- Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati