Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Huyo ngonga kagonga mke wa mchungaji wake, akagonga shemeji zake. Kila anaemkalia sawa anagonga tu.

Arsis, njoo tueleze, huyu siyo ukoo wako wa simba?
Duh kumbe bibi wa Vikindu naye ana za ndani ndani hivi?
 
1. Wanawake wote walikua wanatoa Ushirikiano ktk Sex
2. hakuna Aliebakwa wote wanaonekana walikuwa wanafurahia tendo.
3.Mazingira yanaonyesha walikua wanakubariana ndo wanafanya Ngono
....KOSA.
Zile Video kusambaa au Kuonekana . Bila hizo Video kusambaa mshikaji angendelea kuwala Tu.
Na Sidhani mke wa Rais wa Nchi kama Ajamla, huyo jamaa ni Noma.
Uhuru w mtu binafsi Faragha, Yale ni Mambo yake Binafsi mfanya na wafanywa hayo ni Mambo yao.
Ila naona kama jamaa Kauzwa na mtu mmoja ambae alibaini mke wake analiwa na mwamba Balthazar.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom