Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
ili mwanamke akuvulie nguo si PESA tu anaangalia kuna vitu vingi sana anaangalia

kumbuka jamaa alikua anawa record na wote wanajua na wanakubali hii inakupa picha gani?

kabla hajamla mwanamke yeyote Jamaa ni LOYAL sana,Muhudumiaji,Mkarimu,Ana madini kichwani

ambayo akiyatolea mdomoni mwanamke akiyasikia anamuona mume wake kama house boy aliechangamka

ki ufupi Jamaa ana TALENT zaidi ya PESA maana hajala omba omba wa mtaani amekula PISI zilizonyooka

ambazo naamini kimtaa mtaaa ukipishana nayo itakupandisha na kukushusha,lakini Mwamba kaikula

kala wanawake wenye waume wenye PESA sana nadhani yawezekana hata kumzidi yeye ila kawakula

means what? Jamaa kama alivyosema MC MADEVU kanyimwa vyote ila akikupiga sound hata kama unaenda leba few minutes later unaweza ghairi kwanza umpe akunyooshe ndo uende LEBA.

Mwacheni mwamba maaana ANA kitu na atafika mbali.....
Duuuh
 
Jamaa katumia talent yake vizuri
 
Kisa cha kigogo wa serikali ya Guinea ya Ikweta, Baltasar kuhusishwa na matukio ya kufanya ngono na zaidi ya wanawake 400 huku wengi wakiwa ni wake za wakuu wa utawala katika nchi hiyo na kisha kujirekodi video kimeistua dunia na habari zake kusambaa hapa Tanzania. Mbali na kuanikwa vibaya pia mamlaka za nchi yake zimeahidi kumfukuza kazi yeye na wote waliohusika.

Kiujumla ni kisa cha ajabu, kusikitisha, kuchefua na kuhuzunisha. Lakini kwa upande wa pili ni kisa kilichojaa uonevu mkubwa dhidi ya mhusika mkuu (Baltasar) na wahusika waliotendewa (wanawake).

Kosa la Baltasar ni lipi hasa?
Kosa ni kutembea na wake za watu au wake za watu kutembea na huyo jamaa? (Kidini na kimaadili sio sawa), je kisheria ni kosa?
Kosa ni kujirekodi akifanya ngono? Kimaadili sio sawa, je kisheria ni kosa?
Uhuru wa faragha wa wahusika umelindwaje? Nani mwenye mamlaka ya kuingilia uhuru wa faragha wa mtu mwingine?
Starehe na uhuni wao wa sirini unatuhusu nini sisi?

Kwanini video na picha za matukio ya wahusika zisambazwe mitandaoni mara baada ya mhusika kupekuliwa, kukamatwa na kutajwa hadharani?
Amefanya hayo matukio kwa kipindi kirefu bila kujulikana, amemiliki hizo video kwa muda mrefu bila kusambazwa, kwanini apekuliwe na kukamatwa halafu zisambazwe? Nani anazisambaza na lengo lake ni nini?

ANGALIZO
Sio sawa hata kidogo kujirekodi au kutazama video za ngono, na sio sawa kutembea na wake za watu au kufanya ngono ovyo ovyo.
hapo kwenye angalizo ndo ulipopatia,hayo mengine tunaya samaraiz na mwana kulitafuta mwana kulipata
 
Hilo tukio linaathiri sana wahusika japo hakukuwa na sababu ya kurekodi
 
πŸ’ Kuna uhakika zaidi ya asilimia 90 wa kufanya mapenzi na mwanamke wa rika, umri, uwezo na marital status yoyote endapo utakuwa na fedha nyingi au cheo kikubwa.

πŸ’ Women also cheat.

πŸ’ Ndoa sio institution tena, ndoa imekuwa status.

πŸ’ Hakuna kitu more powerful kuzidi pesa zaidi ya ngono.

πŸ’ Kama kawaida anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake.

πŸ’ Wanaume wana watoto nje ya ndoa, Mwanamke ana watoto wa nje ya ndoa ndani ya ndoa.

πŸ’ Moja ya vitu hatari duniani ni fantasies za mwanaume mwenye pesa na imagination za mwanamke mwenye tamaa na njaa.

πŸ’ Mwanaume ni sex machine inayotembea. Anaweza akamla mtoto wa mfiwa siku ya matanga kwenye chumba alicholaziwa marehemu.
Well said.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom