Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hahahaj hakika mkuuππππ Hiyo paragraph ya mwisho nimecheka Sana , pote umeongea ukweli ila Hiyo ya mwisho umeongea ukweli zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaj hakika mkuuππππ Hiyo paragraph ya mwisho nimecheka Sana , pote umeongea ukweli ila Hiyo ya mwisho umeongea ukweli zaidi
πππHahahaj hakika mkuu
Kwenye dunia hii watu biliion kadhaa hao 400 ni nuktaana nini cha tofauti mpaka akubaliwe na wanawake wengi hivyo?
Duuuhili mwanamke akuvulie nguo si PESA tu anaangalia kuna vitu vingi sana anaangalia
kumbuka jamaa alikua anawa record na wote wanajua na wanakubali hii inakupa picha gani?
kabla hajamla mwanamke yeyote Jamaa ni LOYAL sana,Muhudumiaji,Mkarimu,Ana madini kichwani
ambayo akiyatolea mdomoni mwanamke akiyasikia anamuona mume wake kama house boy aliechangamka
ki ufupi Jamaa ana TALENT zaidi ya PESA maana hajala omba omba wa mtaani amekula PISI zilizonyooka
ambazo naamini kimtaa mtaaa ukipishana nayo itakupandisha na kukushusha,lakini Mwamba kaikula
kala wanawake wenye waume wenye PESA sana nadhani yawezekana hata kumzidi yeye ila kawakula
means what? Jamaa kama alivyosema MC MADEVU kanyimwa vyote ila akikupiga sound hata kama unaenda leba few minutes later unaweza ghairi kwanza umpe akunyooshe ndo uende LEBA.
Mwacheni mwamba maaana ANA kitu na atafika mbali.....
Mmh tatizo sio kula mbususu ishu ni unakula mbususu za aina gani mkuu!?halafu watu mnajikuta kuona mbususu 400 nyingi, Wanaume tuacheni unafki hebu tu assume tungekua na sisi tunajirecord hivi Mwamba si anakaa kabisa chini yani tunamtoa kwa knock out mapema sanaaa...
kabisa mkuu,we unadhani esma plat anashindwa kumpa kipochi almasi???π€£π€£π€£π€£ Hadi dada yako !!!
Jamaa katumia talent yake vizuriili mwanamke akuvulie nguo si PESA tu anaangalia kuna vitu vingi sana anaangalia
kumbuka jamaa alikua anawa record na wote wanajua na wanakubali hii inakupa picha gani?
kabla hajamla mwanamke yeyote Jamaa ni LOYAL sana,Muhudumiaji,Mkarimu,Ana madini kichwani
ambayo akiyatolea mdomoni mwanamke akiyasikia anamuona mume wake kama house boy aliechangamka
ki ufupi Jamaa ana TALENT zaidi ya PESA maana hajala omba omba wa mtaani amekula PISI zilizonyooka
ambazo naamini kimtaa mtaaa ukipishana nayo itakupandisha na kukushusha,lakini Mwamba kaikula
kala wanawake wenye waume wenye PESA sana nadhani yawezekana hata kumzidi yeye ila kawakula
means what? Jamaa kama alivyosema MC MADEVU kanyimwa vyote ila akikupiga sound hata kama unaenda leba few minutes later unaweza ghairi kwanza umpe akunyooshe ndo uende LEBA.
Mwacheni mwamba maaana ANA kitu na atafika mbali.....
Kipochi...wee hadi Linda anatoa π€£π€£π€£π€£kabisa mkuu,we unadhani esma plat anashindwa kumpa kipochi almasi???
hapo kwenye angalizo ndo ulipopatia,hayo mengine tunaya samaraiz na mwana kulitafuta mwana kulipataKisa cha kigogo wa serikali ya Guinea ya Ikweta, Baltasar kuhusishwa na matukio ya kufanya ngono na zaidi ya wanawake 400 huku wengi wakiwa ni wake za wakuu wa utawala katika nchi hiyo na kisha kujirekodi video kimeistua dunia na habari zake kusambaa hapa Tanzania. Mbali na kuanikwa vibaya pia mamlaka za nchi yake zimeahidi kumfukuza kazi yeye na wote waliohusika.
Kiujumla ni kisa cha ajabu, kusikitisha, kuchefua na kuhuzunisha. Lakini kwa upande wa pili ni kisa kilichojaa uonevu mkubwa dhidi ya mhusika mkuu (Baltasar) na wahusika waliotendewa (wanawake).
Kosa la Baltasar ni lipi hasa?
Kosa ni kutembea na wake za watu au wake za watu kutembea na huyo jamaa? (Kidini na kimaadili sio sawa), je kisheria ni kosa?
Kosa ni kujirekodi akifanya ngono? Kimaadili sio sawa, je kisheria ni kosa?
Uhuru wa faragha wa wahusika umelindwaje? Nani mwenye mamlaka ya kuingilia uhuru wa faragha wa mtu mwingine?
Starehe na uhuni wao wa sirini unatuhusu nini sisi?
Kwanini video na picha za matukio ya wahusika zisambazwe mitandaoni mara baada ya mhusika kupekuliwa, kukamatwa na kutajwa hadharani?
Amefanya hayo matukio kwa kipindi kirefu bila kujulikana, amemiliki hizo video kwa muda mrefu bila kusambazwa, kwanini apekuliwe na kukamatwa halafu zisambazwe? Nani anazisambaza na lengo lake ni nini?
ANGALIZO
Sio sawa hata kidogo kujirekodi au kutazama video za ngono, na sio sawa kutembea na wake za watu au kufanya ngono ovyo ovyo.
Njoo in box nikuelekeze Namna ya kuzipataHizo video nazipata wapi?
Mengele gani tena masta ππππNgongo kama Mengele anatrend sana πΌ
Duh!Attention tu haitoshi kumridhisha huyo kiumbe...
Bado Ni Ulongo, asipoamua mwenyewe kuridhika for nothing hawezi kuridhika for anything π
Hilo swali nimejiuliza sanaHuyu jamaa kwa idadi hiyo ni sawa na kusema hiyo ndiyo ilikuwa kazi yake tu. Tena anawarekodi. Huo muda aliutoa wapi ? Na kazi alifanya saa ngapi ?
To yeye ya kweli hayo?Sawasawa
Sijui mkuuTo yeye ya kweli hayo?
Bora mpende pesa tu ili tujue moja πSijui mkuu
Unadhani inasaidia....watoaji nao walishakufaBora mpende pesa tu ili tujue moja π
Anadanganya wife leo tutachelewa kuna kikao hadi saa mbili usikuHilo swali nimejiuliza sana
Well said.π Kuna uhakika zaidi ya asilimia 90 wa kufanya mapenzi na mwanamke wa rika, umri, uwezo na marital status yoyote endapo utakuwa na fedha nyingi au cheo kikubwa.
π Women also cheat.
π Ndoa sio institution tena, ndoa imekuwa status.
π Hakuna kitu more powerful kuzidi pesa zaidi ya ngono.
π Kama kawaida anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake.
π Wanaume wana watoto nje ya ndoa, Mwanamke ana watoto wa nje ya ndoa ndani ya ndoa.
π Moja ya vitu hatari duniani ni fantasies za mwanaume mwenye pesa na imagination za mwanamke mwenye tamaa na njaa.
π Mwanaume ni sex machine inayotembea. Anaweza akamla mtoto wa mfiwa siku ya matanga kwenye chumba alicholaziwa marehemu.