Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
kama kichwa kinavyojielezea...
wanawake hua wanapataga changamoto ya kuzuiwa kufanya kazi na baadhi ya wanaume kwa sababu kubwa ya wivu wa mapenzi pamoja na baddhi ya sababu kama umbali,mwanaume anaona kipato chake kinatosha nk.
sasa hii trend wa engonga(p diddy wa afrika) imeleta point 3 za uhakika kwa wapinga kazi kwa wake zao
mimi bado sijaanza kuishi na mwanamke au sijaoa,so kwa mliooa na wake zenu wanafanya kazi tunawaombea bwana engonga wa bongo asije akajulikana itakua balaa.
Baltasar Engonga dismissed as Equatorial Guinea Financial Investigation  Agency DG, First Lady reacts
 
Gafla nmemkumbuka lecturer wangu Mzumbe university....alipogundua watu wamemjua mambo yake....akaamua kutuchapa sup darasa zima kwa hasira. Alijisemea Mrisho Gambo degree za chupi ziko pale Mzumbe faculty of law
 
Ukweli makazini wanaliwa sana. Kwanza ataliwa na boss then wafanyakazi wenzake. Huku nyumbani ataliwa pia vilevile ila Kwa kiasi chake!

Yaani mwanaume Kila kona tunakuwa tu Cha kufanya jifanye upo kama haupo maisha yaende.
 
kama kichwa kinavyojielezea...
wanawake hua wanapataga changamoto ya kuzuiwa kufanya kazi na baadhi ya wanaume kwa sababu kubwa ya wivu wa mapenzi pamoja na baddhi ya sababu kama umbali,mwanaume anaona kipato chake kinatosha nk.
sasa hii trend wa engonga(p diddy wa afrika) imeleta point 3 za uhakika kwa wapinga kazi kwa wake zao
mimi bado sijaanza kuishi na mwanamke au sijaoa,so kwa mliooa na wake zenu wanafanya kazi tunawaombea bwana engonga wa bongo asije akajulikana itakua balaa.
Baltasar Engonga dismissed as Equatorial Guinea Financial Investigation  Agency DG, First Lady reacts
sina maoni 🐒
 
Unaweza ukamfanyia vyote ulivyosema lkn bado akacheat m ninavyojua km mwanamke ajakuweka moyon n rahs sana kutothamin yale unayomfanyia
 
Nawashauri kabla hamjakamatana ugoni wakati wanawakanda wake na mademu za watu humo maofisini wasisahau ku-play ngoma kama Cream by Wu-Tang Clan na Hell On Earth by Mobb Deep.

Engonga ndiyo zilikuwa ngoma zake hizi huku akijitekenya vichuchu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom