Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Baltazar ametutoa kimasomaso waafrika anafaa ajengewe sanamu, mwamba amemfunika mpaka puff daddy OG.

Wanawake 400 amepitanao tena na uthibitisho juu sio kama lile puff dady lofa.
Tena huyu hakuna watoto ni watu wanajielewa,kweli mwamba apewe maua yake! Wenye shida ya nguvu za kiume wamuone huyu mwamba,atawapa ushauri kuanzia lishe yake au lifestyle yake kwa ujumla.
 
Kuoa mama wa nyumbani raha sana.

Ukimpa elfu 30 anafurahi sana mpaka kijijini kwao atawaambia. Wewe mpe tu laki ya matumizi ya nyumbani halafu mwambie hii 20 ya kwako moyo wake utafurahi.

Sasa ukioa mfanyakazi utampa nini mpaka afurahi?

Anaamka alfajiri anajiandaa chap asubuhi tu yuko kazini atacheka na akina Joni , atakwenda lunch na Jon , asubuhi atakwenda break na Said. Wewe jioni mkikutana akiwa ana stress za kazini anakuona kenge tu.

Mushinde masaa 2 tu tena mkiwa mmechoka unadhani atakuthamini?

Anadhindwa kukuchana ukweli lakini deep kabisa anakuona ndezi tu . Anakaa hapo kwa heshima ya wazazi na jamii tu.

Mwanamke mwenye uhakika wa maisha nje ya ndoa huyo hawezi kukuona wa maana.

Mwanamke anapaswa awe mtu tegemezi kwa mume wake.

Utapinga ila ukweli uko palepale.
Mke mama wa nyumbani hamchoki mume wake kwa haraka. Hesabu ya matukio yanayotukia katika jamii zetu zinatoa majibu.

Mkapime DNA za hao watoto mnaobambikwa
 
20241030_173235.jpg
 
Mke wa mwamba wa Guinea ya Ekweta amesema amesikitika sana na kitendo cha mme wake cha kutumia wanawake zaidi ya 400. Ila hana jinsi lakini maisha lazima ya endelee tu.
Screenshot_20241108-183931_WhatsAppBusiness.jpg
 
Ktk Video zote Bwana Balthazar ajambaka mwanamke yeyote.
Wanafanya yao kwa Ushirikiano Mzuri tu.
Kwa Mtazamo wangu Viongozi walichapiwa ndo wameamua kumuandama au kumtendea hivyo, Hata hizo Video ziinaonekana wao vidongoz wamechangia kuzisambaza
Kama mtu alikua na kumbukumbu ya Mambo yake kimya kimya
Sasa Hao walichapiwa ndo wamekua wakali.
Kweli kuchapiwa inauma ila ikishatokea hata ufanye nini, swala lishatendeka, Bwana Balthazar kawasha Moto... Wake Za Watu kwa hiyali yao Wala ajawaka. Video zile ajasambaza yeye, ila waliosambaza ndo wapumbavu, wamejianika wao kwa kuchapiwa.
Walio sambaza Video Ndo Wanahatia Kwa kua yeye ajazisambaza
 
Nyie mnadhani Waarabu na Wahindi wanavyowakataza Wake zao kufanya Kazi za Maofisini na badala yake kuwataka tu ama wawe Wake za Majumbani au Wanawafungulia Biashara Majumbani mwao ni Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) kama nyie?

Kama una Mke anafanya Kazi Ofisi yoyote nikiwa kama 'Mbanduaji' nakuambia kwa 99.9% jua Analiwa bila Huruma.
 
Ni wakati sasa wa kuwafunga vifaa vya kugundua kama wake zetu wanatusaliti huko maofisini na kuwafuatilia wale wote wanaopitia wake zetu kisha kutoa adhabu kali kwa wazinzi hao wasioogopa wake za watu kama sumu
 
Ni wakati sasa wa kuwafunga vifaa vya kugundua kama wake zetu wanatusaliti huko maofisini na kuwafuatilia wale wote wanaopitia wake zetu kisha kutoa adhabu kali kwa wazinzi hao wasioogopa wake za watu kama sumu
 
IMG_20241110_085019.jpg


Tips;

a) Hana kesi ya kujibu.

b) Hana magonjwa ya zinaa.

c) Wale wanawake wote ni watu wazima.

d) Walikubaliana kuingia katika mahusiano ya faraga na kupiga picha.

e) Hakuna mwanamke aliyejitokeza hapo kabla ili kushitaki kurekodiwa.

f) Wanaume wa wanawake waliohusika wameanza kuachana na wake zao kwa tukio hilo.

g) Wanaume wenye wake waliopata dhahama, wamekasirika kuachwa huru kwa huyo mwamba.

h) Loading...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom