Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Vijana msihangaike
 
Duh aisee maandishi ni mengi, tujitahidi kuelimika, ili tushughulikie mambo ya msingi, Tanzania inahitaji vijana wenye akili nyingi kuliko nguvu ya mwili.
 
We andika unaloweza mradi tu huvunji sheria.

Kuhusu nani anapenda au hapendi unachoandika hilo ni juu yao.
 
You will always be loved here, karibu my G!
 
Duh aisee maandishi ni mengi, tujitahidi kuelimika, ili tushughulikie mambo ya msingi, Tanzania inahitaji vijana wenye akili nyingi kuliko nguvu ya mwili.
Division of labor boss.

Wengine kazi yao ni uandishi sio lazima wabebe tofali. Kuna mtu humu anaitwa girlpoet, alisema yeye ni writer, akina Mtibeli ni waandishi ndio kazi zao hivyo usishangae maandishi marefu kama gazeti la nipashe.
 
Kuna community online mtu anaandika gazetii refu on a simple topic na watu wanasoma, it's just a matter of passion and doing what you love
 
Mtaje tu huyo mwingine sister mpe mauaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…