Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Thanks for the compliment, mkuu 😊 Just to clarify, humu ndani nipo na hii ID moja tu.

Sometimes huwa naamua kuwa msomaji tu, nadhani writing style ndiyo iliyo mfanya bwana secretarybird ahisi ni mtu mmoja.
Naelewa watu aina yako hua hamna sababu ya kua na I'd nyingi

Endelea kuchangia hoja na mijadala kwa wingi

Mimi ni mmoja wa watu wengi ninaochukua vingi kwa comment zakoπŸ™πŸ™
 
Much appreciated Mkuu, nafarijika kufahamu kuna vitu unapata kupitia michango yangu.

Tuendelee kujifunza na kujengana kupitia hoja na mijadala yenye mantiki πŸ«±πŸ½β€πŸ«²πŸΎ.
 
Thanks for the compliment, mkuu 😊 Just to clarify, humu ndani nipo na hii ID moja tu.

Sometimes huwa naamua kuwa msomaji tu, nadhani writing style ndiyo iliyo mfanya bwana secretarybird ahisi ni mtu mmoja.
Mtoto kakuelewa na Ushindwe kumalizia pasi hiyoo
 
Mnakuwaje na makasiriko na watu wa mitandaoni na hamjuani physically....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…