Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
 
Kwa hiyo leo ndiyo ametuonyesha rangi zake kamili siyo??? Hatari sana. Mwanasiasa akikuambia nje kuna mvua, toka uangalie mwenyewe.
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Gwajima ameongea kama mwanachama wa CCM na kuasa kuwa wakubali kufanya marekebisho. Kuhusu CCM kuombwa kutoa reforms, hili ni jambo wazi, bila CCM kuridhia, hakutakuwa na reform yoyote kwa sababu wananchi wamelala usingizi mzito. Wananchi wangekuwa wana akili timamu, reforms zingeshapatikana siku nyingi kabisa, tena na katiba mpya hata kama CCM isingetaka.
 
Bila CCM kuridhia, hakutakuwa na reform yoyote kwa sababu wananchi wamelala usingizi mzito. Wananchi wangekuwa wana akili timamu, reforms zingeshapatikana siku nyingi kabisa, tena na katiba mpya hata kama CCM isingetaka.
Basi tunatawaliwa na Chama nyenye kiburi na cha wajinga sana, kama wanafikiri reforms zinazodaiwa ni ombi kwa CCM
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Watanzania tuliwakabidhi CCM nchi, hivi sasa nchi haiendeshwi kikatiba inaendeshwa kwa hisani ya CCM, CCM imeweza kuwaweka bungeni wabunge 19 ambao mahakama ilithibitisha walifukuzwa Chadema kihalali na hatukufurukuta kuwatimua, kuna mbunge Mwambe alijitoa Chadema na akapewa kadi ya CCM! Lakini aliendelea kuwa mbunge wa CCM kupitia Chadema!
Tukumbuke rasimu ya katiba ya Warioba ilipopelekwa bungeni CCM waliikataa wakaanzisha yao, hatukufurukuta! CCM ndiyo inateua NEC iliyosilimishwa na kuwa INEC, inateua viongozi wote wa tume kupitia mgombea wao wa urais, inapanga tarehe ya uchaguzi na inamtangaza mshindi wa ursis! Hutufurukuti!
Kwa ujumla nchi iko mikononi mwa CCM na wananchi tunarushiwa mabaki, huo ndio ukweli.
 
Kamanda vipi sisi tunaojiona kua tunachokitaka ndiyo kinabidi kufanyika ?
 
Lissu hataki MINIMUM REFORMS, anataka huge and complete REFORMS,kitu ambacho kitafanya CCM ife.
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Hasira zikikuisha msikilize tena, naamini utaweza kumuelewa. Dont let emotions cloud your judgement.
 
Huyu naye anawapanga hamna kitu hapo. Anaumwa na kupuliza.
Press Conference kama gumzo la kijiweni.
Tuache kuwaamini watu kama hawa manabii wa aliye kuzimu.

Ni mchezo wa siasa chafu hana lolote.
Eti Mimi ni mjumbe wa kamati kuu blablabla so what? Tuwaogope? Msituone kama tu Wajinga hiiivyo.

Kakomboe kanisa lako la kufufua wafu
 
Watanzania tuliwakabidhi CCM nchi, hivi sasa nchi haiendeshwi kikatiba inaendeshwa kwa hisani ya CCM, CCM imeweza kuwaweka bungeni wabunge 19 ambao mahakama ilithibitisha walifukuzwa Chadema kihalali na hatukufurukuta kuwatimua, kuna mbunge Mwambe alijitoa Chadema na akapewa kadi ya CCM! Lakini aliendelea kuwa mbunge wa CCM kupitia Chadema!
Tukumbuke rasimu ya katiba ya Warioba ilipopelekwa bungeni CCM waliikataa wakaanzisha yao, hatukufurukuta! CCM ndiyo inateua NEC iliyosilimishwa na kuwa INEC, inateua viongozi wote wa tume kupitia mgombea wao wa urais, inapanga tarehe ya uchaguzi na inamtangaza mshindi wa ursis! Hutufurukuti!
Kwa ujumla nchi iko mikononi mwa CCM na wananchi tunarushiwa mabaki, huo ndio ukweli.
Wananchi tufanyaje mkuu tupe idea
 
Hapo siungi mkono reforms zinatakiwa zote sio minimum.

Huyu mama ni muongo miaka 4 ilitosha sisi kupata katiba mpya haiwezekani tuna rasimu tayari ya 2014 wameiweka kapuni tu halafu huyu mama akadai wananchi hawaijui katiba hivyo inatakiwa wafundishwe kwa miaka 3 ndio akaunda kile kikosi kazi cha matapeli akiwemo Zitto Kabwe.

Sasa unasemaje watu hawaijui katiba na 2014 tulikuwa na rasimu tayari, badala yake akaibuka na utapeli wa 4R ambazo hata yeye mwenyewe hazijui zilikuwa na lengo gani ndio maana ameshindwa kuzitekeleza.

Baada ya kupiga danadana miaka 4 ndio anaibuka mwaka huu kusema muda umebaki mchache hivyo hawawezi kufanya reforms .
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Ukweli mchungu NI kwamba, CCM ndiyo inayozuia reforms Kwa kuhofia kupoteza dola, hivyo Gwajima yupo sahihi 100 Kwa Mia. Maana rais pia ndiye mwenyekiti WA Chama. Hili haihitaji UWE na D mbili
 
Back
Top Bottom