Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Kama ulimsikiliza Gwajima kwa utulivu na ukamuelewa basi hata hili andiko lako halikutakiwa kumpinga
 
Yuko sahihi, wao ndio walianzisha mchakato wa katiba mpya na wakauzima, vyama vya siasa bado vinadai mchakato uanze na vinategemea ridhaa ya CCM kuamua, wao ndio wameshika mpini.

Ila kingine Gwajima anawambia chama chake kwamba wana idadi kubwa ya wanachama, nini wanaogopa kuruhusu reforms za uchaguzi kuwe na fair play?
 
Sio tu hivyo. Kauli hio pia inamaana kuwa yeye hakubaliani na hio hali, ndio maana anaomba japo wapewe hata nusu. Watu wanajidafisha machoni pa umma, ili wakija kwetu 2030 tuwaone weemaaa, ni walewale.
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Naona anachojaribu kutuambia ni kuwa

Hata hivo yupo sahihi anachojaribu kutuambia ni kuwa hakubaliani na Hali inayoendelea , kama hutamchukulia negative.
 
Uipomaliza kuandika naamini umegundua yuko sahihi.

CCM imeshafika hapo na unajiamini balaa, Hata wewe unaomba reforms kwa CCM sio kwa wananchi.
 
Kwahyo kwenye yooote hili pekee ndio umeokota mkuu!!
Vipi kuhusu hili la mamlaka ya raisi na freedom ya vyombo vya Dola 🤔

Hujaona kabisa kama ni kitu?
Leo Gwajima kuzungumza kwa sura tatu
1.Kama mzalendo anayetizama maslah ya taifa na sio chama chochote cha siasa

2. Kapandikiza roho za mapinduzi kwenye vyombo vyote vya dola, na kuwafanya wajitafakari upya.....
maana kawapromis uhuru na true power ndani ya nchi
(Kwa lugha fupi hii n shifting of power kutoka taasisi ya uraisi na kugawanyika sehemu 3 zisizotegemeana!!!
Maana nyingine n kuwa nchi itakuwa na raisi zaidi ya mmoja japo mmoja ndio atakuwa public announced,,,, hapo kutakuwa na nidhamu✍️

3.Gwajima pia n binaadam na anawatu wanamtizama, kwahyo itakuwa n ujinga kurisk maslah ya wapendwa wako kisa ukweli mchungu

(Kwahyo n lazima angetoa kauli za suluhu na CCM maana ndio wapo kwenye dola
Ndio sabb umeona pamoja na kuzungumza yote kunasehem kalegeza kidogo ili kujihakikishia usalama wake na watu wake baada ya kuzungumza huu ukweli mchungu.

Hapa alichofanya n kuchonganisha baina ya wazalendo wa kweli katika taifa na wanufaikaji wa mfumo ulipo (genge la wahuni alilomaanisha Mr Slow... halafu kakaa zake pembeni asome mchezo!!

Kiufupi jamaa Leo katumia akili kubwa sana.. yaani kabalance element zote tatu zinazosumbua kwa sasa na kaweka solution

Upinzani wakimsikiliza wanaridhika na speech 50%
CCM wakiskiliza wanaridhika 35%
Wazalendo wakimsikiliza wanaridhika 100%

Kwahyo deal done: Nadhani lengo la speech ya Leo lilikuwa n kwaajili ya hao wazalendo wa kweli katika taifa ndio maana katumia muda mwingi kuwaelezea.
Gwajima n level nyingine kabisa🚶🚶
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Pambaneni na Gwajima sie tunaendelea na michakato ya Uchaguzi Mkuu!
 
Well spoken
 
Leo amesema amezungumza kama mwanachi wa kawaida, cha kushangaza pamoja na kanisa lake kufungwa, na waumini wake kila jumapili wanakamatwa na kupigwa, ameshindwa kuzungumza kama Askofu mkuu wa kanisa na kuwapa mwelekeo waumini wake. Inashangaza.
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Kwanza kabisa, Gwajima anaweza kuonekana ni mtu mwenye busara kwa sababu Watanzania wana low standards na short memory tu.

This is not to rubbish everything he says or take the side he opposes, this is just an observation on your opening sentence.
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima
Alidhani anatengeneza, kumbe kaharibu tena mpaka kwa wapinzani. Basi adhabu yake safari hii itakuwa mara DUFU.
 
Huyu naye anawapanga hamna kitu hapo. Anaumwa na kupuliza.
Press Conference kama gumzo la kijiweni.
Tuache kuwaamini watu kama hawa manabii wa aliye kuzimu.

Ni mchezo wa siasa chafu hana lolote.
Eti Mimi ni mjumbe wa kamati kuu blablabla so what? Tuwaogope? Msituone kama tu Wajinga hiiivyo.

Kakomboe kanisa lako la kufufua wafu
Mnapewa ushauri utakaowasaidia, nyie mnaona bora muendelee kuwa keyboard warriors. Ngoja mzidi kupelekewa 🔥
 
RAIS wa nchi anatakiwa kuheshimiwa ivi vitoto vidogo vilikuwa vinamjaza upepo Gwajima!!!

nchi hii kipindi cha Mpaka ipo misikiti ilifungwa kisa ichi ichi kuchanganya Siasa kwenye misikiti Ibada zao!!!

Msikiti wa mwembechai si ulifungwa pale na watu walikufa pale pale kwa risasi !!

awa wafuasi wa Gwajima wameguswa guswa tu na polisi vilio kibao

nyie watoto wa 2005 kila mkionacho mjue kiliwai tokea !!

Mashekh kwasasa wameacha Siasa kabisa wanajua mkono wa Serikali sio poooaa ndugu GWAJIMA ulichezea wengi lkn sasa umejichanganya jipange upya maisha yaende

Rais sio adui yako ajawai kuwa adui yako
 
The Most easiest work is to complain while hard work is to achieve your goals
So true! Blaming and complaining can be effortless, but achieving goals requires dedication, hard work, and perseverance. It's a powerful reminder to focus on solutions and personal growth rather than getting stuck in negativity. What's one goal you're working towards?
 
Back
Top Bottom