Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

RAIS wa nchi anatakiwa kuheshimiwa ivi vitoto vidogo vilikuwa vinamjaza upepo Gwajima!!!

nchi hii kipindi cha Mpaka ipo misikiti ilifungwa kisa ichi ichi kuchanganya Siasa kwenye misikiti Ibada zao!!!

Msikiti wa mwembechai si ulifungwa pale na watu walikufa pale pale kwa risasi !!

awa wafuasi wa Gwajima wameguswa guswa tu na polisi vilio kibao

nyie watoto wa 2005 kila mkionacho mjue kiliwai tokea !!

Mashekh kwasasa wameacha Siasa kabisa wanajua mkono wa Serikali sio poooaa ndugu GWAJIMA ulichezea wengi lkn sasa umejichanganya jipange upya maisha yaende

Rais sio adui yako ajawai kuwa adui yako
Lakini wakisifia Siyo siasa wakikosoa ni siasa
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Kuchanganyikiwa sasa

Hata hajui agenda yake ni ipi

Alitegemea drama watu wakamuacha anamangamanga

He couldn’t let polepole a shine peke yake
 
RAIS wa nchi anatakiwa kuheshimiwa ivi vitoto vidogo vilikuwa vinamjaza upepo Gwajima!!!

nchi hii kipindi cha Mpaka ipo misikiti ilifungwa kisa ichi ichi kuchanganya Siasa kwenye misikiti Ibada zao!!!

Msikiti wa mwembechai si ulifungwa pale na watu walikufa pale pale kwa risasi !!

awa wafuasi wa Gwajima wameguswa guswa tu na polisi vilio kibao

nyie watoto wa 2005 kila mkionacho mjue kiliwai tokea !!

Mashekh kwasasa wameacha Siasa kabisa wanajua mkono wa Serikali sio poooaa ndugu GWAJIMA ulichezea wengi lkn sasa umejichanganya jipange upya maisha yaende

Rais sio adui yako ajawai kuwa adui yako
Kusema rais wa nchi anatakiwa kuheshimiwa ni logical fallacy.

Argument from authority.

Rais anatakiwa kuheshimiwa kutokana na matendo yake, si kwa sababu ni rais.
 
Humphrey Polepole Nadhani Naye Atakuja Namna Hii...Michezo Yakupangwa,,Michezo Ya Kimkakati,,,Hii Wala Si Yakujitia Kuishabikia Utaufedhehesha Moyo,,Roho,,Nafsi....Na Utadhoofisha Mwili Na Akili Bure....
 
Jasus Ile press yake ya Leo ni recorded na sio live! Na hakuna mwandishi wa habari aliyekuwep ila walitumiwa link tu!
 
Lakini wakisifia Siyo siasa wakikosoa ni siasa
Duniani kote ipo ivyo kusifia sio zambi lkn kukosoa ndio mkwamo kitanzi kisichovumilika!!!

Ata mume au mke msifie miaka 20 !!

siku moja tu msifie mwengine nayeye mkosoe uwone kama ujalala mzungu w 4 kusifia sio zambi mkuu.
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Huyu Jamaa sio mjinga kiasi hicho yuko very smart saana kwa kukusaidia tu yeye ndiye aliyeleta wazo Chadema la kumchukua Lowassa wakina Mbowe wakamsikiliza.....Leo kaongea hivyo baada ya kupima upepo na hasa baada ya tamko la bunge Ulaya jana na pia barua ya Polex2 nayo imewapiga vibaya za uso (kwa ufupi dogo aliwawahi) ....kwa tamko la jana la Bunge la Ulaya "Mama lazima arushe taulo ulingoni mda si mrefu" kila mtu smart kashaliona hilo ndio maana Gwajiboy anataka nae kutokea hapo kusudi wajinga baadae waone kuwa mama kafuata mawazo ya Gwajiboy kumbe dogo kafanya research zake kitambo na anafuata upepo
 
Duniani kote ipo ivyo kusifia sio zambi lkn kukosoa ndio mkwamo kitanzi kisichovumilika!!!

Ata mume au mke msifie miaka 20 !!

siku moja tu msifie mwengine nayeye mkosoe uwone kama ujalala mzungu w 4 kusifia sio zambi mkuu.
Sijasema ni dhambi nimesema kusifia Siyo siasa lakini Kukosoa ni siasa?
 
Gwajima alikosea naamini kagundua ndiomana kaomba RADHI kama Binadam ukosea muimu tu kujua hapa umekosea na kuweka mambo sawa maisha yaendelee.. Serikali haikutaka kufungia Kanisa !!!

lkn kiongozi wa Kanisa ndio kuanzisha mgogolo na Serikali kwaiyo Gwajima kaona yaishe ngoja tuone mwishowake.!!!

Gwajima kwasasa atakuwa kajifunza kutokulitumia Kanisa kwenye mambo ya kupambana na watu.!!!

!! Waumini nao waache viherehere kipindi kile walikuwa wakishangilia Gwajima hakiamsha Dude !!!

sasa wametembezewa kichapo nawao siku nyingine waache kushangilia madude wasioyajua!!!!!
 
Sijasema ni dhambi nimesema kusifia Siyo siasa lakini Kukosoa ni siasa?
Sawa Kabisa misikiti Makanisa kusifia ni sawa. Tatizo kukosoa kukosoa hakuvumiliki popote kazini kwenye ndoa nk !!
 
So true! Blaming and complaining can be effortless, but achieving goals requires dedication, hard work, and perseverance. It's a powerful reminder to focus on solutions and personal growth rather than getting stuck in negativity.
For real
What's one goal you're working towards?
I am enhancing my Djing skills
How about you
 
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.

Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima kuongea utopolo kama huu. Nadhani hii Press Conference yake lengo lake ilikuwa kujipendekeza tena kwa Samia na CCM kwa ujumla.

Gwajima anapaswa kuelewa Chadema wanapodai Reforms, hawaombi huruma ya CCM, na sio juu ya CCM kuamua Chadema wapewe kiasi gani cha reforms. Gwajima anafikiri CCM ni nani katika nchi hii, wenye hati miliki ya Katiba ya Tanzania?

Hivi tunawezaje kuwa na viongozi wenye kufikiria kwa level ya kijinga kiasi hiki?

Chadema hawajadai Reforms za Katiba ya CCM, na taratibu za uchaguzi sio mali ya CCM, ni za Watanzania. Chadema wanadai kitu ambacho ni kwa faida ya Watanzania wote, vyama vyote vya siasa. Kwa hiyo sio juu ya CCM kusema "tuwape Chadema minimum reforms". Who do you think you guys are, gods of Tanzania? Huu ujinga wa kujiona nyie ndio wenye nchi umewaingia sana kichwani hadi mnajisahau kabisa.

Hivi mnataka Watanzania wafanye nini hasa ndio mjue wako serious, wapindue nchi?
Bado Polepole kesho kumwomba msamaha mwenyekiti wa CCM. Mtajuta sana kudandia matukio
 
We ndo zezeta no 1,Kwani waziri wa katiba na sheria anatoka chama han? au utueleze serikali imeundwa na chama gani,hao mabosi wa tume ya taifa ya uchaguzi wanawajibika kwa nani??,na wanateuliwa na nani??,tunaomba majibu ya hayo maswali..
 
Back
Top Bottom