Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

hahhaah na huyu mchungaji anavyojua kuongea
Tatizo Domo ameshindwa kusoma nyakati na haya ndo matokeo yake. Hakukumbuka kwamba akikaa karibu na choo atanuka kinyesi. No way out movie imebuma next time wabadilishe Director.
 
View attachment 492823
Salamaaa

Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.

Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.

Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
MWENDAWAZIMU GWAJIMA MNAMWITA MCHUNGAJI MCHUNGAJI GANI ALIYEGEUZA KANISA KUWA JENGO LA MIPASHO???? MNANITIA KINYAA KUMWITA ETI BISHOP. NITAHIRA PEKE YAKE NDIYO ANAWEZA KUMWITA GWAJIMA KUWA MCHUNGAJI UKISOMA KWENYEB KAMUSI GWAJIMA HANA SIFA YA KUITWA MCHUNGAJI WALA ASKOFU
 
Back
Top Bottom