TEACHER FRANK MSIGWA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 537
- 445
Mwenzio mjasiriamali ana ka helcopta...we unanini??Matoleo yamepungua, anataka kupiga hela nyingi sana hio kesho.
Dini za siku hizi ni ujasiriamali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio mjasiriamali ana ka helcopta...we unanini??Matoleo yamepungua, anataka kupiga hela nyingi sana hio kesho.
Dini za siku hizi ni ujasiriamali
Acha azichukue hadi tuwe na akiliMatoleo yamepungua, anataka kupiga hela nyingi sana hio kesho.
Dini za siku hizi ni ujasiriamali
Gwajima apate umaarufu kwa diamond?Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
He is not a fake bishop, he is supposed to defend his Kondoo!Askofu feki
Tatizo Domo ameshindwa kusoma nyakati na haya ndo matokeo yake. Hakukumbuka kwamba akikaa karibu na choo atanuka kinyesi. No way out movie imebuma next time wabadilishe Director.hahhaah na huyu mchungaji anavyojua kuongea
Nyie Wa bashite mnasafari fupiWaumini wa Gwajima wana safari ndefu!!
Nchi ina mambo hii. Kila siku linaibuka jipya.Mkuu huu mwaka tutaona mengi
Umaarufu autafute Gwajima, are you serious?Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
Mkuu kama huyo mhuni bashite tumuite naniHuyo Gwajima mhuni tu
hana lolote
Vipi na viongozi wanaovamia ofisi za watu na kuteka watu kila cku wao tuwaitajeMWENDAWAZIMU GWAJIMA MNAMWITA MCHUNGAJI MCHUNGAJI GANI ALIYEGEUZA KANISA KUWA JENGO LA MIPASHO???? MNANITIA KINYAA KUMWITA ETI BISHOP
Wenye faidaMatoleo yamepungua, anataka kupiga hela nyingi sana hio kesho.
Dini za siku hizi ni ujasiriamali
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kesho lazima nikasali kwa Gwajima ngoja niandae na sadaka ya kutosha
MWENDAWAZIMU GWAJIMA MNAMWITA MCHUNGAJI MCHUNGAJI GANI ALIYEGEUZA KANISA KUWA JENGO LA MIPASHO???? MNANITIA KINYAA KUMWITA ETI BISHOP. NITAHIRA PEKE YAKE NDIYO ANAWEZA KUMWITA GWAJIMA KUWA MCHUNGAJI UKISOMA KWENYEB KAMUSI GWAJIMA HANA SIFA YA KUITWA MCHUNGAJI WALA ASKOFUView attachment 492823
Salamaaa
Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.
Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.
Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.