Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Alitakiwa aende mbali zaidi amwambie kwanza mdogo wake kakosea stepu demu gani yule ana sura ya kiume, ni basi tu kamsitiri sana, ndiomaana anaona wivu shemeji mtu kula pisi za maana, waziri na yeye fyatu tu masuala ya binafsi aliyataja kwenye kadamnasi ili iweje, ndiomaana bayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata mumewe mzuri
 
Bahati mbaya hawatasoma post hii lkn umenena
 
Namshauri Rais asimtoe Waziri maana gwajima boy mpotoshaji wewe ungekuwa Waziri umgefanyaje kwa upotoshaji wake
mimi ningekuwa waziri ningesema ukweli huu.. kiukweli hatujui kilichomo kwenye hizo chanjo na sisi tumeletewa tu tuwakomalie raia wachanjwe na wenye dunia yao

hapo nitaonekana wa maana sana mbele za watu na mbele za Mungu maana nimeongea hali halisi kuliko sasa hivi wanavyojidhalilisha mbele za umma yaani bora ujiuzulu kuliko kuaibika kila uchao

halafu pia ningesema tu wazi tumepokea hela za wakubwa hatuna namna nyingine ndg wananchi wenzangu
 
Kweli watanzania tuna akili mbovu kupitiliza. Video ya ngono, inaonyesha kwamba siyo mtu mkweli na hawezi kuaminika. Ni tapeli na mpotoshaji. Watanzania wengi ni wajinga ndiyo maana. Akiweza kumsaliti Mungu anayemuamini kwa kumdanganya Mungu mwenyewe ndo itakuwa binadamu wenye akili za nyumbu?
 
Waziri ajibu hoja ya gwajima, ajibu kitaaluma zaidi.
Mambo ya mrembo hayatuhusu kwa sasa yalishapita.

Wanaume mmeumbwa kwa tamaa kilichomtokea gwajima hata wewe waweza kikakutokea.
Gwajima ana hoja gani? Unaweza kuweka hapa hizo hoja zake? Pamoja na kwamba hana credibility? Hizi akili nyingine wacha ninyamaze tu maana nitaishia kupigwa ban kila siku.
 
Waziri ameyataka mwenyewe kwa kumu-attack personally Rev.Gwajima kwa kumkejeli na kumdhihaki!

Huenda hamjui vizuri.
Yule Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alikuwa akipigwa mashambulizi alikuwa hajibu mpaka upepo ukatulia(Kila jumapili mchungaji alikuwa analeta habari mpya kwa waumini),tuliyajua mengi hadi kijiji cha Kolomije!!!

Sasa Waziri aache kujibu yanayoendelea ili upepo upoe ,la sivyo,safari ya kisiasa itakuwa fupi,maana Waziri alizoea kudhalilisha wengine mbele ya vyombo vya habari sasa Mungu anampitisha mule mule!
 
Drama drama , the Gwajima's washing their dirty linen in public.
 

Your browser is not able to display this video.

Askofu mzinzi at his best...anajua misukule wake wataitikia Amen, shetani mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…