Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapo makondooo yatamfata kaokoka lini? na simu janja zimeanza lini?

[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]baba ana unoooo balaaa...vijana chukueni koziiiii
Kwani nataka cheti mpaka nichukue tuzo
 
Video ya kumchafua Askofu Gwajima inayosambaa mitandaoni imeshafahamika ni fake.
Watesi wake jipangeni upya.

Software iitwayo REALITY DEFENDER imewaumbua
huna lolote wewe, unataka tu tuipost hapa ili uipakue. mimi ninayo ila siipost ng'ooo.
 
Sikujua km ww Jaji unatafuta matusi ya nguoni tukutane, ina maana hata Instragam yake wanadanganya? zipo video 3 na picha ya muumini kibaoView attachment 1091028
insta yake ina followers 363 k , kama upo page nyingine ni fake ya wafuasi wa musiba na genge lake.

mara ya mwisho ku post ni 21/4 .

usipende kubeba dhambi za watu kama musiba waliokufa dhamiri zao
 
Naona ile movie ya 2017 naona mwendelezo wake ndo huu

Ngoja tusubiri nae atajibu nini

Yetu macho,hii DAB kali sana.
 
Hebu taratibu ndugu mtumishi. Huyo Yesu sidhani kama kakutuma utukane watu. Au huko kwa Gwajima ndivyo mnavyofundishwa?

Utamu asikie Gwajima, matusi utoe wewe. Taratibu ndugu mtumishi!
 
Askofu kasema ile video ni kabla hajaokoka.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:


_"Wakati anapambana na mimi kipindi cha operesheni yangu ya tokomeza madawa ya kulevya nilisema hawezi kunishinda kwa sababu najua sio mchungaji bali ni tapeli tu wa mjini anayetumia kanisa kutapeli watu._

_Niliamua kuwa mpole ili nione mwisho wa mashambulizi yake, sasa nadhani kwa pigo hili watu wataamua nani mshindi kati yangu na yeye._

_Nimeshatoa maelekezo kwa kamanda Mambosasa amsake popote alipo akaeleze kwanini amekuwa akiwanyanyasa waumini kingono"_

*- RC Makonda*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…