Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Net ya kitanda in zamabarau, mapazia ni ya cream, ila yule sio Gwajima, nimepima size ya pua zinatofautiana sana, sio mwenyewe Duniani wawili wawili mwacheni Baba askofu apige Injili.Mbona kwenye ile clip alokuwa kifua wazi moja ya rangi za mapazia ni zambarau na kwenye ile anayomtia mapazia yake hayana hiyo rangi kabisa? Itakuwa ni ya uongo hii